Hivi Mbunge anavyosema waziri asijaribu kugusa masilahi yao unamwelewa vipi?

Mahweso

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
1,098
1,501
Inamaana yoooooooote kupanda kwa maisha hawajaona, Kodi zimepanda kila kona hajaona, bali kaona kodi za Mbunge,

Hapo ndipo unapata ni kwanini wabunge huhonga na kuingia Bungeni,

Hapa Wananchi wenzangu jueni hatuna wawakilishi wa kweli, hasa hawa wa CCM hakuna kitu kabisa.

Mungu ibaliki Tanzania.
 
Wachumia tumbo,wamejishushia P sana,ilitakiwa wapongeze pendekezo la waziri kuwakata kodi maana litaongeza mapato kwa serikali.
 
Hao wabunge wa ccm wanatakiwa kusema ndiyooooooooooo tunaunga mkono hoja, tangu lini wameanza kuhoji maamuzi ya serikali
 
Hao wabunge wa ccm wanatakiwa kusema ndiyooooooooooo tunaunga mkono hoja, tangu lini wameanza kuhoji maamuzi ya serikali

mkuu mark my world huyo mbunge mda si mrefu atahamia CDM na hapo ndo atakaposifiwa na Co lowasa, kwa mwenendo kangi lugola hana uhusiano mzuri na ccm kwa sasa mda si mrefu ataamia huko kwa team DODOKI
 
Kwa aina ya wabunge kama Kangi tusitegemee mabadiliko kusudiwa.Huyu si ni mtuhumiwa wa kuomba rushwa huyu?.Tabia haijifichi siku zote.
 
Back
Top Bottom