Mheshimiwa Mbowe ni muumini mzuri sana wa uhuru wa vyombo vya habari na hii inajidhihirisha katka namna ambavyo ameliacha gazeti lake la Tanzania Daima kufanya kazi yake bila ya kuingiliwa. Policy hii ya hands off, ni nzuri na ni nguzo muhimu sana ya uhuru wa vyombo vya habari hasa katika nchi za dunia ya tatu ambako wamiliki wana nguvu sana. Hii ililipa heshima gazeti la Tanzania Daima na nina hakika mauzo yake yaliongezeka sana.
Kwa bahati mbaya sana aina hii ya utawala imetumiwa vibaya na mawakala wa ufisadi na washabiki wa siasa za kihafidhina ambao wametanda katika news room ya gazeti hili na sasa gazeti hili limegeuka kuwa ni mdomo wa mafisadi, sauti ya ukinzani usio na tija dhidi ya serikali na hasa Rais wa nchi na upotoshaji wa kijinga sana. Ukisoma makala za Kibanda, Ngurumo na wachangiaji wengine utaona kwamba gazeti hili limepoteza mvuto, weledi na kuaminika kwake. Sasa hivi ukiona habari katika gazeti hili unajiuliza mara mbili mbili juu ya kuaminika kwake. Hali hii sasa inaonekana kuwakera hata baadhi ya watumishi wa gazeti hili, na mfano mzuri ni makala ya Happiness Katabazi ya gazeti la tarehe 3 Julai, 2012 ambayo alielezea juu ya mgomo wa madaktari. Alishutumu jinsi makala zake mbili ambazo kimsimamo zinatofautiana na 'watawala' wa news room ya gazeti walivyoziminya kiasi cha kuhisi kwamba hata hiyo nayo isingetoka.
Kama hili linamtokea mwenzao ambaye msimamo wake au fikra zake ni tofauti, vipi kwa wengine?
Swali langu ni je, Mheshimiwa Mbowe haya anayajua?

hilo tumeliacha kitambo tunafungia samaki ferry
Sijui madhumuni ya kuanzishwa kwa gazeti hili. Maana kama lengo lingekuwa ni kulifanya listawi, wale wanaojiiypta wahariri walitakiwa kufukuzwa siku nyingi.
Hata kufungia samaki ni kulipa hadhi. Halifai hata kusokotea tumbaku.
Yako mambo ya kipuuzi yasiyopaswa kupuuzwa. Mafisadi anaowazungumzia huyo mpuuumbavu Hao mafisadi wanaoingilia makala za Kibanda na Ngurumo ni akina nani? Yaani anadhani Mbowe ni mpuuuzi wa kiwango chake? Yaani anataka kuuaminisha umma kwamba makala aliyoiandika Happiness Katabazi ndiyo mwelekeo wa Tanzania Daima? Hivi kwa akili yake anadhani Mbowe anaunga mkono ukatili wanaofanyiwa madaktari? Yaani anadhani Mbowe anaweza akakubaliana na makala ya Katabazi? Hebu afuatilie Bunge na aujue msimamo wa Chadema kuhusu mgomo wa madaktari na serikali.
Nasikitishwa na watu waliofikia hatua ya kumtusi hadi Mbowe kwa sababu tu ya kuwaunga mkono wapuuzi wa aina ya mwandishi wa thread hii ambaye ni miongoni mwa watu wanaotumia vibaya uhuru wa kupost thread katika jamvi hili kwa kuandika mambo ya hovyo kwa kiwango hiki.
Kwa taarifa yenu, Tanzania Daima halitakufa na halifi na kwa sasa linashika nafasi ya pili kwa mauzo baada ya gazeti la Mwananchi. Serikali ya kifisadi ambayo mwandishi wa thread anaisifia imefanya juhudi kubwa kuliua gazeti hili kwa kulinyima matangazo lakini hata hivyo ndani ya serikali hiyo wako watu waadilifu na wachapakazi ambao hawajapata kutishwa na wamekuwa wakiendelea kutangaza nasi.
Mimi ndiye Kibanda ambaye ni mhariri mtendaji wa Tanzania Daima. Niko hapa si kwa kubebwa bali kwa kujibeba kwa sifa na vigezo. Niko tayari kuondoka hapa wakati wowote iwapo mwajiri wangu ataona huo ndiyo uamuzi sahihi kwake. Viwango vyangu vinanipa fursa ya kufanya kazi katika gazeti lolote lile makini.
Mheshimiwa Mbowe ni muumini mzuri sana wa uhuru wa vyombo vya habari na hii inajidhihirisha katka namna ambavyo ameliacha gazeti lake la Tanzania Daima kufanya kazi yake bila ya kuingiliwa. Policy hii ya hands off, ni nzuri na ni nguzo muhimu sana ya uhuru wa vyombo vya habari hasa katika nchi za dunia ya tatu ambako wamiliki wana nguvu sana. Hii ililipa heshima gazeti la Tanzania Daima na nina hakika mauzo yake yaliongezeka sana.
Kwa bahati mbaya sana aina hii ya utawala imetumiwa vibaya na mawakala wa ufisadi na washabiki wa siasa za kihafidhina ambao wametanda katika news room ya gazeti hili na sasa gazeti hili limegeuka kuwa ni mdomo wa mafisadi, sauti ya ukinzani usio na tija dhidi ya serikali na hasa Rais wa nchi na upotoshaji wa kijinga sana. Ukisoma makala za Kibanda, Ngurumo na wachangiaji wengine utaona kwamba gazeti hili limepoteza mvuto, weledi na kuaminika kwake. Sasa hivi ukiona habari katika gazeti hili unajiuliza mara mbili mbili juu ya kuaminika kwake. Hali hii sasa inaonekana kuwakera hata baadhi ya watumishi wa gazeti hili, na mfano mzuri ni makala ya Happiness Katabazi ya gazeti la tarehe 3 Julai, 2012 ambayo alielezea juu ya mgomo wa madaktari. Alishutumu jinsi makala zake mbili ambazo kimsimamo zinatofautiana na 'watawala' wa news room ya gazeti walivyoziminya kiasi cha kuhisi kwamba hata hiyo nayo isingetoka.
Kama hili linamtokea mwenzao ambaye msimamo wake au fikra zake ni tofauti, vipi kwa wengine?
Swali langu ni je, Mheshimiwa Mbowe haya anayajua?
Kwa bahati mbaya sana aina hii ya utawala imetumiwa vibaya na mawakala wa ufisadi na washabiki wa siasa za kihafidhina ambao wametanda katika news room ya gazeti hili na sasa gazeti hili limegeuka kuwa ni mdomo wa mafisadi, sauti ya ukinzani usio na tija dhidi ya serikali na hasa Rais wa nchi na upotoshaji wa kijinga sana.
Hali hii sasa inaonekana kuwakera hata baadhi ya watumishi wa gazeti hili, na mfano mzuri ni makala ya Happiness Katabazi ya gazeti la tarehe 3 Julai, 2012 ambayo alielezea juu ya mgomo wa madaktari. Alishutumu jinsi makala zake mbili ambazo kimsimamo zinatofautiana na 'watawala' wa news room ya gazeti walivyoziminya kiasi cha kuhisi kwamba hata hiyo nayo isingetoka.