ukiangalia viumbe wote na jamii yote wana mikia isipokuwa sisi tu,jamii ya ndege wote wanamikia jamii ya wadudu wote wana mikia, jamii ya wanyama wote wana mikia isipokuwa wanadamu tu why?
Wewe sisi tumeumwa kwa mfano wa Mungu
Kwa hiyo Mungu hana mkia? Kama ni hivyo umejuaje?
Kwa hiyo Mungu hana mkia? Kama ni hivyo umejuaje?
Ukiangalia viumbe wote na jamii yote wana mikia isipokuwa sisi tu,jamii ya ndege wote wanamikia jamii ya wadudu wote wana mikia, jamii ya wanyama wote wana mikia isipokuwa wanadamu tu why?
Acha wewe Mungu hana mkia
Wewe sisi tumeumwa kwa mfano wa Mungu
tunao mkia wa kondoo
ha ha ha ha ha ha
ha ha ha ha ha ha
we siku hizi sijui unakula nini
kila nikiona post zako mimi hoi
Acha wewe Mungu hana mkia
Ukiangalia viumbe wote na jamii yote wana mikia isipokuwa sisi tu,jamii ya ndege wote wanamikia jamii ya wadudu wote wana mikia, jamii ya wanyama wote wana mikia isipokuwa wanadamu tu why?
Unayo! ila hujitambui.