Hivi mawasiliano ya namna hii inaashiria nini...?

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
4,105
2,499
Habari zenu wana-MMU?

Kuna kitu nataka nifahamu kuhusu hili sijui niite kasumba...

Yaani mtu(mwanaume) anawasiliana na demu kwa njia ya simu, demu anatengeneza mazingira ya mwanaume aongee zaidi kuliko yeye, mwanaume akimtegea demu aongee anakuwa kimyaa haongei mpaka mwanaume akimshtua ndo anajibu na kusema "Niambieee" ili mwanaume aongee.

Hivi hii inaashiria nini?

Sijui kama mmenipata...!
 
ikiwa mwanaume ndo anae anzisha mawasiliano , anawajibu wa kuongoza mazungumzo, sasa kama anaongea mambo ambayo siyo endelevu, basi huyu mwanamke hatakuwa na la kuongea.ataongea kuendeleza yale mpiga simu au mtuma ujumbe ameyaanzisha. hakuna kiashiria cha ajabu hapo. kama mwanaume anaona mwanamke haongei manake ni kuwa unavyoongea yeye hana uzoefu au havijui au hata havipendi kwahiyo ni ngumu kuchangia
 
Mara nyingi akina dada kama wako kwenye mahusiano, na anamfeel jamaa hakosi cha kuongea. Tena ugomvi huanza pale anapotaka kukata simu maana bado una sweet nothings za kuongea afu yeye anakata. i doubt it eti sababu ni haelewi hayo mazungumzo

A.Hana lakusema.
B.Unayoongea hayamvutii.
C. Anakuchora.

Chagua kati ya A,B,C au yote kabisa.

Duh! Lizzy kwa hapo inaweza ikawa moja au mbili au zaidi ya hapo mkuu! Kwa hapo kidogo umenipa mwanga!
 
ikiwa mwanaume ndo anae anzisha mawasiliano , anawajibu wa kuongoza mazungumzo, sasa kama anaongea mambo ambayo siyo endelevu, basi huyu mwanamke hatakuwa na la kuongea.ataongea kuendeleza yale mpiga simu au mtuma ujumbe ameyaanzisha. hakuna kiashiria cha ajabu hapo. kama mwanaume anaona mwanamke haongei manake ni kuwa unavyoongea yeye hana uzoefu au havijui au hata havipendi kwahiyo ni ngumu kuchangia

Pamoja na mwanaume kuanzisha mawasiliano, hata wakati mwingine mdada anaanzisha mawasiliano mambo yanakuwa ni yaleyale! Hii ina maana kuna kasoro pale?
 
Mara nyingi akina dada kama wako kwenye mahusiano, na anamfeel jamaa hakosi cha kuongea. Tena ugomvi huanza pale anapotaka kukata simu maana bado una sweet nothings za kuongea afu yeye anakata. i doubt it eti sababu ni haelewi hayo mazungumzo

Kama haelewi mazungumzo, dawa ni kwa jamaa kukata simu si ndiyo au kuna technic nyingine ya kufanya? Maanake akiona mazungumzo hayaeleweki anakuwa kama anajenga mazingira ya kuifanya ikatike!
 
Pamoja na mwanaume kuanzisha mawasiliano, hata wakati mwingine mdada anaanzisha mawasiliano mambo yanakuwa ni yaleyale! Hii ina maana kuna kasoro pale?
kama mwanamke anaanzisha mawasiliano na haongei, na mwanaume akianzisha haongei pia ,basi rudi upande mwingine ,je ktk hali ya kawaida huyu dada ni muongeaji? ana uwezo wa kuanzisha mazungumzo endelevu ( ice breaking ability)?, kama siyo muongeaji basi usimlaumu. lakini kama ni muongeaji ila anaanzisha halafu haongei , hapo kutakuwa kuna kitu anataka mwanaume mwenyewe akitamke bila ya ushawishi wa huyo mwanamke.
 
Anakuwa na simu ya pili anakurekodi ili baadaye apate kukusikiliza kirefu na kufurahia jinsi ulivokuwa unamwaga tenzi.
 
Inawezekana dada siyo muongeaji au ni muongeaji lkn labda anatafuta kitu kutoka kwa mwanaume, hiyo kwa kweli inawezekan kabisa, lkn anaonekana muongeaji tu wakati mwingine lkn bado mawasiliano yanaendelea maana mdada aliomba waendelee kuwasiliana kama marafiki!
 
Anakuwa na simu ya pili anakurekodi ili baadaye apate kukusikiliza kirefu na kufurahia jinsi ulivokuwa unamwaga tenzi.

Hahahahaha! Imetulia hii point. Inaweza ikawa ni kweli anataka afurahi mwanaume akiongea na sauti imwingie moyoni!
 
Sasa tunafundishana kutongoza,mimi nadhani nimeshakutana na dizaini ya mwanamke kama huyo,huyo hamaanishi kitu chochote siajabu akawa anadharau sana na anakuchukulia simple ndio maana anafanya hivyo,sasa wewe ukiona hivyo then muage alafu usipige simu kama siku tatu au nne alafu uone itakuwaje,
 
huyo anataka kukujua jinsi ulivyo kupitia mazungumzo au text. Hiyo 'niambie' ni kama anashtua engine ili uendelee kuongea, azidi kukufaham na akuzoe. Wala usichukulie negative.
Wanaamini kwamba kile kimtokacho mtu kinywani mwake ndiyo moyoni mwake jinsi alivyo, ni psychology yao.
 
katika mahusiano mwanaume si muongeaji sana kama mwanamke hivyo kama mwanamke inakubidi ujue namna ya kucheza mwanaume..mwanaume huwa muongeaji sana pale mnapotokea kugombana au kukosana...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom