vampire123
JF-Expert Member
- Apr 17, 2016
- 1,310
- 869
Mi naomba waongeze muda kwa kweliMwaka huu corona imeharibu ratiba..ndo maana lakini HESLB walishatoa muongozo kwamba dirisha la maombi lipo wazi kwa siku 40... Inabidi wanafunzi waombe kisha wasubirie majibu...kurahisisha mambo...maana majibu yakitoka kuna kuomba vyuo napo.View attachment 1542929
Sent using Jamii Forums mobile app