Wanamuonea sana GABACHORI wa watu!
Kumfahamu kivipiWanamuonea nini? Humfaham manji wewe au umejitoa ufaham. Manji hamna anachoonewa.kwan hapa nchni mhindi ni yeye peke yake?uwe unauliza kwa wanaomfaham manj
Hahahahahaha. Mbwa yupo mjengo mweupe c mwenye mbwa tena. He will know the city.
