I IPECACUANHA JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 3,230 Reaction score 1,925 Jun 29, 2023 #1 Wakazi wa Iringa hivi huyu mwamba wa Iringa aliyewahi kumiliki vibasi vyanavyokwenda Ilula na Zahanati yupo? Anaendeleaje na maisha yake ambayo ni hadithi tosha yenye mafunzo kwa watu?
Wakazi wa Iringa hivi huyu mwamba wa Iringa aliyewahi kumiliki vibasi vyanavyokwenda Ilula na Zahanati yupo? Anaendeleaje na maisha yake ambayo ni hadithi tosha yenye mafunzo kwa watu?
Sirdirashy JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 3,252 Reaction score 3,074 Jun 29, 2023 #2 Mkuu ni mwanaume acha kufatilia maisha ya watu tafuta pesa na jipambanie utoboe.
I IPECACUANHA JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 3,230 Reaction score 1,925 Jun 29, 2023 Thread starter #3 Sirdirashy said: Mkuu ni mwanaume acha kufatilia maisha ya watu tafuta pesa na jipambanie utoboe. Click to expand... Tulia utajifunza kitu. Wapishe wakazi wa Iringa waje hapa.
Sirdirashy said: Mkuu ni mwanaume acha kufatilia maisha ya watu tafuta pesa na jipambanie utoboe. Click to expand... Tulia utajifunza kitu. Wapishe wakazi wa Iringa waje hapa.
Pukudu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 3,158 Reaction score 2,273 Jun 30, 2023 #4 Namkumbuka Makosa last time alikuwa na kibar kinaitwa makosa hyo 2007/08
kizaizai JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 6,066 Reaction score 7,552 Jun 30, 2023 #5 Sirdirashy said: Mkuu ni mwanaume acha kufatilia maisha ya watu tafuta pesa na jipambanie utoboe. Click to expand... Unapita kimya. Kuna shida mahali? Maana umefoka balaa utafikiri maisha ya jamaa unayafahamu..
Sirdirashy said: Mkuu ni mwanaume acha kufatilia maisha ya watu tafuta pesa na jipambanie utoboe. Click to expand... Unapita kimya. Kuna shida mahali? Maana umefoka balaa utafikiri maisha ya jamaa unayafahamu..
Gulio Tanzania JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 3,383 Reaction score 7,980 Jun 30, 2023 #6 Huwa namuona kachoka sana sizani kama ana pakulala IPECACUANHA said: Wakazi wa Iringa hivi huyu mwamba wa Iringa aliyewahi kumiliki vibasi vyanavyokwenda Ilula na Zahanati yupo? Anaendeleaje na maisha yake ambayo ni hadithi tosha yenye mafunzo kwa watu? Click to expand...
Huwa namuona kachoka sana sizani kama ana pakulala IPECACUANHA said: Wakazi wa Iringa hivi huyu mwamba wa Iringa aliyewahi kumiliki vibasi vyanavyokwenda Ilula na Zahanati yupo? Anaendeleaje na maisha yake ambayo ni hadithi tosha yenye mafunzo kwa watu? Click to expand...