Hivi makampuni ya simu za mkopo yana mpango gani na simu zinazoondolewa mkopo?

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,328
Reaction score
11,461
Mtaa wetu wa Nyampulukano umekuwa mtaa wa kidigitali ghafla bin vuu

Wazawa wamekopa simu kupitia makampuni ya simu za mkopo hasa hasa simu za WATU i.e samsung A05 na A06, kisha wanamtafuta Musa Mafyekeche! anatindua mikopo hiyo, watu wanaendelea kujimwaya mwaya kama kawaida

Swali linakuja, makampuni haya yana mpango gani na watu wa aina hiyo, wasiwe wanaandaa adhabu kali sana pasi na kuutaarifu ulimwengu tukaja kushangaa watu wanapotea kusikojulikana, akiwemo mwanangu! Na je, serikali imejipanga vipi kuwatetea watu wake pindi makampuni haya ya ovyo yatakapowasha hasira zao?

Kuepuka kuingia kwenye mkenge, nimeamua kujikopea zangu ka Itel A100C kwa sababu mkopp wake hauvunjiki ili hata nikiingiwa tamaa za kuvunja, usivunjike

Labda nivunje kioo!
 
Dah, umeileta hii taarifa yako kwa mtindo wa kichesho sana mkuu.

Monetary doctor simu za mkopo zipo!
 
We jamaa wewe Yani mpaka umemtaja jina huyo IT?,huoni kua unamuweka hatarini kwani wewe wajua hizo simu huko kwa seller zinanunuliwa kwa shingp,hivi ulishawahi kuwaza pamoja na kwamba watu wanaua huo mfumo wa mkopo lakini bado mabango mtaan ya mikopo ya hizo simu ndo kwanza yanaongezeka.
 
Wiki moja baada ya ukopaji huo haramu, nilishangaa wananipigia simu kwa sana ili nitoe marejesho. Nilivyoona ni kero nikavunja laini. Cha ajabu kesho yake sikuskia lile tangazo lao la Mkopo Mkopo Mkopo, nilipata wasiwasi nikidhani huenda waki wananidiskasi mimi, almanusra niwarudishie simu yao
 
Hivi huwa inakuaje kwa mtu unakuwa proffessional kiasi cha kuvunja kila simu, mi nilitaka kutumia simu isiyovunjika, lakini kuna watu wanasema eti hii itel a100c ni ya kuvunjia kwa vidole tu, watu hawana jema lakini😔
Hii kitu sio hapa tu hata india nimekaa india miezi 7 niliyo yaona afadhali ya hapa kule sio powa kila mtu anatumia simu ambayo kavunja mkopo ila mie naona wenyewe hupata faida pale mtu anapotoa kianzio tu next ni balaa watu hawa malizi deni ni mwendo wa unlock tool mixer baypass sio powa afu na siku hizi zile app za ku unlock ni bei rahisi sana
 
Mtaa wetu wa Nyampulukano umekuwa mtaa wa kidigitali ghafla bin vuu

Wazawa wamekopa simu kupitia makampuni ya simu za mkopo hasa hasa simu za WATU i.e samsung A05 na A06, kisha wanamtafuta Musa Mafyekeche! anatindua mikopo hiyo, watu wanaendelea kujimwaya mwaya kama kawaida

Swali linakuja, makampuni haya yana mpango gani na watu wa aina hiyo, wasiwe wanaandaa adhabu kali sana pasi na kuutaarifu ulimwengu tukaja kushangaa watu wanapotea kusikojulikana, akiwemo mwanangu! Na je, serikali imejipanga vipi kuwatetea watu wake pindi makampuni haya ya ovyo yatakapowasha hasira zao?

Kuepuka kuingia kwenye mkenge, nimeamua kujikopea zangu ka Itel A100C kwa sababu mkopp wake hauvunjiki ili hata nikiingiwa tamaa za kuvunja, usivunjike

Labda nivunje kioo!
Simu za kina POPOMA
 
Hii kitu sio hapa tu hata india nimekaa india miezi 7 niliyo yaona afadhali ya hapa kule sio powa kila mtu anatumia simu ambayo kavunja mkopo ila mie naona wenyewe hupata faida pale mtu anapotoa kianzio tu next ni balaa watu hawa malizi deni ni mwendo wa unlock tool mixer baypass sio powa afu na siku hizi zile app za ku unlock ni bei rahisi sana
Kwa hiyo mkuu, hata hii yangu inatoka? Itel A100c (msaada)
 
Back
Top Bottom