Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 142,474 Reaction score 286,920 Jul 27, 2024 #1 Ama kweli Mambo haya yanachanganya sana, Mwenye kujua atufahamishe. Hakika mwaka wa Uchaguzi una mambo!
Ama kweli Mambo haya yanachanganya sana, Mwenye kujua atufahamishe. Hakika mwaka wa Uchaguzi una mambo!
mangiTz JF-Expert Member Joined Jul 28, 2019 Posts 2,112 Reaction score 3,463 Jul 27, 2024 #2 π π π
tamsana Platinum Member Joined Jan 13, 2012 Posts 3,842 Reaction score 8,266 Jul 27, 2024 #3 #Kaziiendelee
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 25,937 Reaction score 41,156 Jul 27, 2024 #4 Kwamba Riz 1 atengeneze ajira ipi hiyo?
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 142,474 Reaction score 286,920 Jul 27, 2024 Thread starter #5 Rabbon said: Kwamba Riz 1 atengeneze ajira ipi hiyo? Click to expand... Na ataitoa wapi?
Mshenyentaji JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 2,047 Reaction score 2,932 Jul 27, 2024 #6 Erythrocyte said: Na ataitoa wapi? Click to expand... Aaahaa
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 142,474 Reaction score 286,920 Jul 28, 2024 Thread starter #7 Ikulu ni mzigo- JK NYERERE
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,635 Jul 28, 2024 #8 Ridhiwani kaambiwa akahakikishe Vijana WANAPATA Ajira hajaambiwa AKATENGENEZE Ajira Katika hizi Ajira zilizopo ahakikishe Vijana WANAPATA Ajira zinatengenezwa na MIFUMO ya Kiuchumi ππ
Ridhiwani kaambiwa akahakikishe Vijana WANAPATA Ajira hajaambiwa AKATENGENEZE Ajira Katika hizi Ajira zilizopo ahakikishe Vijana WANAPATA Ajira zinatengenezwa na MIFUMO ya Kiuchumi ππ
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 142,474 Reaction score 286,920 Jul 28, 2024 Thread starter #9 johnthebaptist said: Ridhiwani kaambiwa akahakikishe Vijana WANAPATA Ajira hajaambiwa AKATENGENEZE Ajira Katika hizi Ajira zilizopo ahakikishe Vijana WANAPATA Ajira zinatengenezwa na MIFUMO ya Kiuchumi ππ Click to expand... Kwani Riziwan siyo ofisa wa serikali?
johnthebaptist said: Ridhiwani kaambiwa akahakikishe Vijana WANAPATA Ajira hajaambiwa AKATENGENEZE Ajira Katika hizi Ajira zilizopo ahakikishe Vijana WANAPATA Ajira zinatengenezwa na MIFUMO ya Kiuchumi ππ Click to expand... Kwani Riziwan siyo ofisa wa serikali?
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,635 Jul 28, 2024 #10 Erythrocyte said: Kwani Riziwan siyo ofisa wa serikali? Click to expand... Kama wewe ni kijana nenda ukapewe Ajira acha maswali ya jikoni
Erythrocyte said: Kwani Riziwan siyo ofisa wa serikali? Click to expand... Kama wewe ni kijana nenda ukapewe Ajira acha maswali ya jikoni