DOCTOR UZI
Member
- Apr 28, 2020
- 99
- 80
JIJI KUU LA NCHI YA UCHUMI WA KATI.Hapo Ndiyo Dodoma Maji Yanatoka Mzakwe Kwenye Visima Vya Kuchimba. Kuanzia Nguo Kuoga Ni Changamoto
Ukiogea Ngozi Unazeeka Haraka Uliyosema Ni Kweli Tupu
Mkoa Ambao Una Ujanjaujanja Tu Wa Wanasiasa Una Shida Hizo
Yaani Asubuhi Mchana Jioni Sura Zimepauka, Maji Hayo
Nguo Ndiyo Usiseme!!!!!
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
😁😂😀😅😄😄😐😐
2018Umeingia Lini Dodoma?
KWENYE PICHA AU BAADA YA KUTOKA CHUMBAN??Mbona Mabint wa Udom wanang'aa sana au wanaoga maji ya Uhai
Zoea Mazingira!!!2018
Haa 😁😂😂😂JIJI KUU LA NCHI YA UCHUMI WA KATI.
NISHAZOEAZoea Mazingira!!!
ASANTE KWA KUNIJUZAHalafu maji ya huko Dodoma kuna tetesi yanasababisha uoni hafifu kumbe ndio maana Jiwe huwa anaenda kuwaapisha akina Ndugulile halafu baadae anarudi magogoni
Ila Jiwe muhuni kwelikweli sijui msubi wa wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona Mabinti wa Udom wanang'aa sana au wanaoga maji ya Uhai
Ila sio Dom yote, niliwahi kuwa kule kata ya Makutupora maji yake sio mabaya. Nilirudi mjini nimetakata kinyama
Za muda huu wakuu wa mambo
Moja kwa moja kwenye mada, tokea nije Dodoma sio nguo sio ngozi lazima vibadilike ila nikirudi DSM hali inakuwa nzuri mno
Nguo - ukiifua zaidi ya mara 5 kama ni nyeusi mpauko utakao uona huwezi kuitamani hiyo nguo na rangi nyingine ni nafuu ila nyeusi ndio mwisho inakuwa kama ina mba (ugonjwa wa ngozi).
Ngozi - mapele yanakutoka na siku nyingine ukiamka unaamka na vinundu baada ya siku chache vinakauka , pia swala la ngozi kubauka ni swafi sana na kawaida sana.
Sijui kwa wengine ila kwangu imekuwa hivo.
NB. Peroxide ni breaching agent, kwa wale wa penzi wa series turudi nyuma kidogo enzi hizo season one prison break pale Michael Scofield anapo jipeleka fox river kumtoa kaka yake Lincoln sasa katika strategy zake itatokea njia ya kutolokea walibadilisha pipe system kwahyo ilibidi wapitie kwenye psych ward(wodi ya vichaa) na magandwa yao yalikuwa meupe na kina scofield walikuwa wanavaa nguo za blue ndio hapo idea inakuja atatumwa flanklin (c-note) kwenda kuiba peroxide ili wazi breach zili nguo zao za blue ziwe nyeupe.
Nimalize kwa shukrani.
Duu 1977 mkuu sa hv utakuwa unakaribia 55+Hivi Dodoma kwa sasa kuna maji ya kutosha? Nakumbuka nilishawahi kuoga maji kwenye beseni la kunawia mikono nilipomtemblea jamaa yangu aliyekuwa anaishi eneo la Makole mwaka 1977!