hivi maandamano ya chadema....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi maandamano ya chadema.......

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by misorgenes, Mar 5, 2011.

 1. misorgenes

  misorgenes JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  unajua nimekaa nkajiuliza kama wiki nzima hivi, hivi maandamano ya chadema yangekuwa hayana mwemko wa wananchi kuna mtu angesema wamevunja sheria ya vyama au kutukana?
   
 2. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hawana hoja ya kuyajibu ndiyo maana. Wangekuwa na majibu kuhusu tuuma zilizobeba ujumbe wa maandamano haya, wangeyajibu kwa mbwembwe kubwaaa. Sasa kwasababu hawana hata moja la kulijibu, inabidi waseme ni uvunjifu wa amani yao. Kwani huwa hawataki kuulizwaa ama watu tujue ukweli kabisaaaa......
   
 3. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,826
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  Wamegundua kuwa wameshikwa pabaya,kwani madai yote yanayobebwa na CDM ni ya kweli na hawana majibu yake(WAMESHINDWA KUTAWALA),hivyo wameona njia pekee ni kueneza propaganda mfu ili wananchi waichukie Cdm-ndo maana wanarukaruka tu na kauli mbofumbofu....WAMESAHAU KUWA "KURUKA RUKA KWA MAHARAGE.....!"
   
 4. Ellyson

  Ellyson JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 1,717
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ndiyo maana CCM wanahaha. Maji yamewafika shingoni. CDM kaza buti
   
 5. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Na bado watachanganyikiwa mpaka basi, hakuna kulala mpaka kieleweke. Maandamano yawepo na kero zitajwe hadharani.
   
Loading...