Hivi Maalim hamuonei aibu Lipumba?

Hivi Maalim hamuonei aibu Lipumba?

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
38,647
Reaction score
49,068
Hawa ni maswahiba waliopambana bega kwa bega miongo miwili sasa! Yaani ni umri wa mtu mzima kufahamiana.

Binafsi japo aibu kidogo ingekuwepo kuanzisha mchakato wa kumwondoa mwenzangu katika mapambano.

Ila kwa maalim hilo halipo! Kisa kuna hatari ya kupoteza madaraka. Akwambie nani. Madaraka matamu sana.

Sio ajabu kwa haya kutokea baina ya maalim na lipumba!!
 
Siyo rahisi kufanya kazi na Seif. Lipumba amevumilia ya kutosha sasa ameamua liwalo na liwe hata kama ni kugawana mbao.
 
Kuna tukio gan kwan lipumba anataka kufanya? maana mbona analazimisha xn kurud kwenye nafas ya uwenyekiti? ni bora tu walivyomtimua sababu anaonekana hana nia njema na cuf uyo
 
Maalim rafiki yake kwa sasa ni lowasa na mbowe maajabu hayaishi dunia
 
Watu wengi wanasingizia kuwa chama CUF ni Seif hapana isipokuwa Seif kutulia wala hanunuliki sasa ukija wewe utakuja vizuri utajitangaaza hata ukiingia sokoni mara ya kwanza ya pili ya Tatu Wakubali lakini siasa ya miaka hii mukitaka musitake sisi wapemba ndio walimu wasiasa za wakati watuja wahipo kupoteza kiti hata kimoja toka 95 hadi 2015
 
Natatizo lá Maalim Seif kuonekana kama dicteta nikuwa huwa Kuna Kuja watu kutaka kukihumu chama na yeye hakubali hayo ndio akaonekana Kama waonea wenziwe kumbe wajionea wenyewe
 
Prof alivyo waacha wenzake ktk kipindi kigumu alikua na mpango gani na chama chao? Kama yeye ana aibu kwanini alivamia ofisi za chama? Kama alikua ana nia njema na chama basi kipindi kile ndo angeonyesha kwa kupambana na wenzake. Hata kama ni mkongwe busara zili itajika zaidi kuliko mabavu
 
Hawa ni maswahiba waliopambana bega kwa bega miongo miwili sasa! Yaani ni umri wa mtu mzima kufahamiana.

Binafsi japo aibu kidogo ingekuwepo kuanzisha mchakato wa kumwondoa mwenzangu katika mapambano.

Ila kwa maalim hilo halipo! Kisa kuna hatari ya kupoteza madaraka. Akwambie nani. Madaraka matamu sana.

Sio ajabu kwa haya kutokea baina ya maalim na lipumba!!
Mbona kikwete hakumuonea aibu lowassa akamkata
 
Hakuna sababu ya kumuonea haya msaliti na mhujumu wa chama.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom