Ila wale watakaoleta zawadi za kipuuzi kama vile vi glass vya baa tutavi return to the sender.....
Nyie leteni mnachoweza. . .
Yule wa kupenda zawadi! Goodmorning
Hahaha. . . kwani we hupendi?
Good morning. . . how are you this fine morning?
Not as much as you I guess. I'm superb, sijui weye ati? Wajionaje na hali?
Hahahahaha. . . Huo utetezi huo.
Haya nakurudishia ila upunguze usije ukapigwa huko.
Kuanzia leo nimeacha, alafu maza hous alikuwa ananiletea nongwa lakini hata yeye mi namushit tu!! Naona Ms jr anavokuchengua.....lol!!
Nyie leteni mnachoweza. . .
Hahahah. . . we kakondoo mbona kama kaukorofi kanakujia kwa kasi? Jana nlidhani kanakunyemelea ila naona sio.
Jr ndo pekee kaweza kusimama. Wengine wamekimbia.
hahahaaa wengi wanasemaga mi mkorofi kutokana na kwamba mtu akinianzishia huwa sipotezei yaani namchana live mpaka mwisho,,,,ila kusema ukweli mi hata sio mgomvi bana na mpaka nikafokeane na mtu ujue kanichokoza muda mrefu!! Dah.....naona mr ability amekomaa kweli, nawasihi muache uzungu na breki ya kwanza iwe klabuni!!! Lol
Lizzy hao ka hirizi nitolee photocopy angalau na mimi mwe?
Hayo mapera ya mbegu au mapambo ya ndani?