Lipumba sio Profesa, Ni mhuni wa kawaida tu!
Mtu wa kawaida? Leo Mpaka Mbowe kavamia Kigodo cha CUF kujipa Mamlaka ya kutambua au kutotambua Mwenykt wa Chama kingine. Mwalimu Seif kaenda kuomba Msaada Ufipa!
Lipumba sio Profesa, Ni mhuni wa kawaida tu!
hahhah watanzania ni watu wa ajabu kweli ..et mtu anatilia shaka elimu ya prof lipumba. wakati wewe hata form four imekusumbua. Tatio hamuelewi tofauti kati ya elimu na maarifa. Ukweli usemwe PROF NI MSOMI WA HALI YA JUU KATIKA FIELD YA ECONOMICS, uganda walimtumia sana. lakin nabii hakubaliki kwakua tangu yupo upinzani serikali haitona umuhimu wake. Tuongelee vitu vingine ila elimu yake hata baba ako na ukoo wenu na kizazi chenu wote mpaka mnakufa hamtofika level yake.
Ndugu wacha mzaha kwa viumbe wasio na hatia.Atakua ni partime lecturer kwenye shule ya viziwi Buguruni ipo karibu na ofisi yake
Sijaleta mzaha kwani hakuna shule ya viziwi Buguruni ? Kuna ubaya gani akifundisha Lipumba hapo ?Ndugu wacha mzaha kwa viumbe wasio na hatia.
Hapa watu wanamponda Mr Lipumba, kwa hiyo unana hao viziwi ndio wanaomstahili?Sijaleta mzaha kwani hakuna shule ya viziwi Buguruni ? Kuna ubaya gani akifundisha Lipumba hapo ?
Wewe ndiye unayetafsiri vitu vibaya
we itakua ni mwnfunz wakehahhah watanzania ni watu wa ajabu kweli ..et mtu anatilia shaka elimu ya prof lipumba. wakati wewe hata form four imekusumbua. Tatio hamuelewi tofauti kati ya elimu na maarifa. Ukweli usemwe PROF NI MSOMI WA HALI YA JUU KATIKA FIELD YA ECONOMICS, uganda walimtumia sana. lakin nabii hakubaliki kwakua tangu yupo upinzani serikali haitona umuhimu wake. Tuongelee vitu vingine ila elimu yake hata baba ako na ukoo wenu na kizazi chenu wote mpaka mnakufa hamtofika level yake.
Kwa hiyo viziwi hawastahili kufundishwa na Lipumba ? Kwani Lecturer maana yake ni nini ?Hapa watu wansmponda Mr Lipumba, kwa hiyo unsons hao viziwi ndio wanaomstahili?
Mhadhiri, anawafundisha nini?Kwa hiyo viziwi hawastahili kufundishwa na Lipumba ? Kwani Lecturer maana yake ni nini ?
Namna ya kutunza hela ,una lingine ?Mhadhiri, anawafundisha nini?
Sasa mbona anafanya mambo ya kijinga na kipumbavu kama si msomi Mara anakula matapishi yake huo uenyekiti kama kazaliwa naoKusoma CV ya Profesa Lipumba na kuilewa vyema hasa Yale machapisho yake unapaswa walau uwe na Ki Master, sasa huyo Kigori na Ki Form four chake chenye rundo la vyeti ku re sit Mtihan ataelewa nini?
ndio ni mwanafunzi wakewe itakua ni mwnfunz wake
aNatamani kujua Lipumba anafundisha wapi?
Anafundisha nini?
Wanafunzi wake wanamwelewa kweli?
Aliupataje Uprofesa?
Walompa walimzidi akili au akili zakezinafanana na zao?
Nina maswali mengi sana mwenye kujua anijuze.
Umemaliza ndugu yangu. Tatizo kubwa ni mazingira hasa ktk nchi zetu za kiafrika. Lipumba ana literatures nyingi nzuri na zenye msaada mkubwa tatizo kariba ya mwafrika ni kuogopa maandishi hatutaki kuzisoma na kuzitumia. At one time Lipumba aliwahi kuwa mshauri wa maswala ya uchumi hapo nchi jirani kwa Musevi na alifanikiwa coz kazi yake ilionekana. Tukubali kwamba siku zote NABII HAKUBALIKI KWAOTusikatae ukweli kwamba darasani alikuwa vizuri hususani kwenye economics. Na hata kwenye research za world bank kuhusu Development economics na agriculture amezifanya sana na ni mtaalam sana kwenye development economics na agriculture. Nilibahatika kuona dissertation title yake ya master enzi zile akiwa UDSM.
Ila kwenye kufundisha kwa sasa hatakuwa active sana maana tangu aingie kwenye siasa nadhani hajawahi kuwa full time teacher wa chuo particularly hapa ndani ila naskia kuna washkaji walikuwa mbale yangu pale UDSM wanasema alifundisha kama topic moja kwenye Development economics.
Mara ya mwisho kumuona Lipumba akichambua uchumi publicly ilikuwa pale Nkrumah hall i think ilikuwa kati ya 2011 au 2012 ila sikumbuki vizuri ilikuwa kwenye Kigoda cha mwalimu na prof. Tibaijuka alikuwepo. Alitoa lecture nzuri kwa mtazamo wangu na kiasi nilimuelewa Lipumba ni mtu wa aina gani kwenye uchumi. A lot of facts na how mechanism zinatokea na kuhathiri economic variables, kitu ambacho wanauchumi wengi wanashindwa kukielezea.
Siku hiyo nakumbuka aligusia kuhusu commodity price change katika soko la dunia, kuna mahali alihusianisha na kuelezea bei ya mchele inavopanda na kushuka mpaka nikampigia saluti.
Kwa ufupi jamaa yupo vizuri sana, na najisikia sana vibaya mtu wa kariba yake anajiaibisha na kufanya folks wamshushe heshima. He is a very very great man and smart na anastahili heshima kubwa sana, sio mtu wa kustahili kutukanwa tukanwa hovyo. Sad