Ni mambo yakijinga sn, unaambiwa vitu ambavyo havina ukweli unakubali, ujuwe utakuwa mtumwa kwa aliyekuambia,
Kumbuka Mungu amemuumba mtu kwa mfano wake, kama unampenda dada wa watu basi endelea ukimwacha kesho ukakuta kaolewa na jamaa wanaishi vizuri utaumia sn, tena bora mjinga kondoo kuliko mwelevu mbuzi, utashindwa kumchunga, kumbuka maisha si leo bali hadi kufa, pia ugomvi ktk jamii upo heri mpole kuliko mjanja akakuwekea mafiga matatu,utalia kilio cha mbwa au cha mende.