Hivi kweli wanawake wa namna hii ni mazumbukuku

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,234
Miaka takribani 6 iliyopita, kuna dada moja mtu mzima kidogo alinieleza. Mdogo wangu, chonde chonde usije oa mwanamke ambaye nywele zake zimeshuka sana kuja chini katika kipaji cha uso wake. Sababu uwezo wao wa akili uwa ni mdogo sana, wapo kama mazumbukuku.
Sasa kuna nesi moja amemtuma dada moja amemwambia ana ni feel. Baada ya kumuona nikagundua ni dizaini ya wale wanawake nilio elezwa na yule dada.
Sasa naweza kuingia katika mahusiano naye na kama ni kweli si nitakuwa nimempotezea muda.
Labda nyinyi ma greater thinkers katika sehemu mlipo kuna wanawake dizaini hii mtujuze kama kuna ka ukweli ni chape lapa mapema.
 
Ndio ni kweli kabisa .na si wanawake tu hata wanaume.ukiona nywele zimeshuka sana ujue ni zumbukuku.hata zangu nazo zimeshuka hivyo hivyo.so to be honest hata mimi mwenyewe nitakuwa ni zumbukuku.kwa suala la kuoa au la; mimi nakushauri ni bora ukamuacha huyo ukatafuta mwenye kipara.he!he! He!
 
Hahahahaha!

Ushauri wangu ni huu...shida si unadhani huyo dada ana uwezo mdogo kiakili (IQ ndogo)?
Mpeleke online cku moja kwenye web hii;[h=3]IQTest.com ama nyinginezo zinazotoa IQ test ili umpime uwe na uhakika kabisa....[/h]Pia uwezo wa kiakili si unaweza observe anavyofanya mambo yake na ukajua?
Mi naona hizo ni superstitious nonesense.

Hatuna bado tafiti za kufananisha muonekano wa binadamu na tabia, kila binadamu ameumbwa kwa sura na mfano wa mungu....Wapo wanaosema kama baba na mama walikuwa vilaza shule basi watoto wanadouble.....ila hilo ni uongo ndio maana watoto wa wasomi wanapelekwa shule nzuri kwa fimbo ila akina kanumba wanaibuliwa vichakani na hawakamatiki....Kama na wewe umefika bei usirudi nyuma ila nina wasix2 na approach isije zaa hit & run.
 
Akili ya kuambiwa, changanya na ya kwako Mkuu.
Binafsi ndo nasikia leo. Ukishajua na ukawa na uhakika unataka nini, viangalie hivyo kwa huyo ata kama atakua na kipara mkuu haijalishi mbona!!
 
Ni mambo yakijinga sn, unaambiwa vitu ambavyo havina ukweli unakubali, ujuwe utakuwa mtumwa kwa aliyekuambia,
Kumbuka Mungu amemuumba mtu kwa mfano wake, kama unampenda dada wa watu basi endelea ukimwacha kesho ukakuta kaolewa na jamaa wanaishi vizuri utaumia sn, tena bora mjinga kondoo kuliko mwelevu mbuzi, utashindwa kumchunga, kumbuka maisha si leo bali hadi kufa, pia ugomvi ktk jamii upo heri mpole kuliko mjanja akakuwekea mafiga matatu,utalia kilio cha mbwa au cha mende.
 
hahahahahhahaha ukweli anaujua huyo aliyekupa hiyo story ya zumbukuku.bythe way what is zumbukuku?huwa nashindwa san kuwaelewa watu wanaoshindwa tofautisha nna kureason ndio sababu ,THERE IS GREAT DIFFERENCE BETWEEN FANTACY AND REALITY
 
Ni mambo yakijinga sn, unaambiwa vitu ambavyo havina ukweli unakubali, ujuwe utakuwa mtumwa kwa aliyekuambia,
Kumbuka Mungu amemuumba mtu kwa mfano wake, kama unampenda dada wa watu basi endelea ukimwacha kesho ukakuta kaolewa na jamaa wanaishi vizuri utaumia sn, tena bora mjinga kondoo kuliko mwelevu mbuzi, utashindwa kumchunga, kumbuka maisha si leo bali hadi kufa, pia ugomvi ktk jamii upo heri mpole kuliko mjanja akakuwekea mafiga matatu,utalia kilio cha mbwa au cha mende.
Nimekuelewa bora kuwa na Zumbukuku unalipeleka utakavyo kuliko hawa wenye viwalaza kidogo. Kila moja anakuwa na akili ki mkwichwa sasa inakuwa noma
 
Ndio ni kweli kabisa .na si wanawake tu hata wanaume.ukiona nywele zimeshuka sana ujue ni zumbukuku.hata zangu nazo zimeshuka hivyo hivyo.so to be honest hata mimi mwenyewe nitakuwa ni zumbukuku.kwa suala la kuoa au la; mimi nakushauri ni bora ukamuacha huyo ukatafuta mwenye kipara.he!he! He!
Mkuu umenichekesha sana!!!
 
13424d1260933203-contest-closed-contest-post-your-favorite-hairy-face-45771_1_468.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom