Hivi kweli tz ni masikini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kweli tz ni masikini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sinai, Nov 23, 2011.

 1. Sinai

  Sinai JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 289
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  :lol::lol::lol::lol:Nipo hapa Dodoma, napishana na magari ya kifahari kweli kweli, naona wana CCM wamo kwenye magari yenye viyoyozi, ya bei kubwa, class ya juu! Sasa kama nchi ni masikini, kwanini viongozi wetu wa chama na serikali wanatumia magari ya namna hiyo? Watu tunakosa dawa mahospitalini wakati pesa za kununua na kuendeshea magari haya ipo? Kipi ni muhimu kwa viongozi wetu? ni starehe zao au afya za wapiga kura wao? Inauma sana kwa kweli!:eyebrows::eyebrows::eyebrows:
   
Loading...