Hivi kweli Sheikh Ponda tu au....?!!

Hivi kweli Sheikh Ponda tu au....?!!

Sajenti

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
3,651
Reaction score
414
Habari za kukamatwa na kufunguliwa mashitaka yanayodaiwa kuwa ya uchochezi. Lakini kinachonishangaza ni nguvu nyingi inayotumiwa na serikali katika suala la Ponda. Kwa mfano leo alifikishwa mahakamani morogoro na msafara wa magari 5 yaliyobeba askari wenye silaha na pia kusababisha baadhi ya barabara mjini morogoro kufungwa. Hivi kweli rasilimali zinazotumika kwa suala la huyu mtu , muda unaotumika na inconvinience wanayopata raia wengine vina tija kwa taifa hili? Nadhani kuna mambo ya maana zaidi yanayohitaji kushughulikiwa kwa nguvu na rasilimali nyingi kuliko hili...Ni mtazamo wangu tu.
 
Mi nafikiri wanampa umaarufu ambao hasitahili. Pondo niwa kawaida sana tofauti na wanavyomtangaza.
 
Mi nafikiri wanampa umaarufu ambao hasitahili. Pondo niwa kawaida sana tofauti na wanavyomtangaza.

Hataki umaarufu ana tetea haki za wanyonge akitaka umaarufu engekwenda bongo movie wewe kilaza
 
walimu wanalia njaa wakihitaji nyongeza ya mishahara hawaongezewi leo shk ponda anagharamiwa kiasi hicho wizi mtupu pambafu!!!
 
Back
Top Bottom