Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 30,262 Reaction score 54,666 Jul 11, 2019 #41 Ww ndio umesema aisee. La si hivyo bara africa lingekuwa weupe tu. I love black sisters down to earth.. huwez badilisha mtazamo wangu my name is my name said: Kila mtu ana chaguo lake lakini hii bado haibadilishi kama nyeusi haina mvuto. Click to expand...
Ww ndio umesema aisee. La si hivyo bara africa lingekuwa weupe tu. I love black sisters down to earth.. huwez badilisha mtazamo wangu my name is my name said: Kila mtu ana chaguo lake lakini hii bado haibadilishi kama nyeusi haina mvuto. Click to expand...
A anasbo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 5,138 Reaction score 9,606 Jul 11, 2019 #42 Kunde Ekeke said: Chura ndio ina amua uzuri Click to expand... Nakuunga mkono kwa asilimia 100. Chura ndio inaamua uzuri wa mwanamke. hizo rangi acha zipakwe ukutani tu
Kunde Ekeke said: Chura ndio ina amua uzuri Click to expand... Nakuunga mkono kwa asilimia 100. Chura ndio inaamua uzuri wa mwanamke. hizo rangi acha zipakwe ukutani tu
instanbul JF-Expert Member Joined Jun 26, 2016 Posts 12,602 Reaction score 19,781 Jul 11, 2019 #43 Ujinga mtupu. Kwani mtu huzaliwa na kuchagua awe mweupe au mweusi? Wengine mnajitafutia laana bure