Hivi kweli Black ni beautiful?

Kiukweli black is beuty.
Ukimpata mwanaume au mwanamke mwenye chocolate colour huwez mfananisha na kuku yeyote mwenye rangi nyeupe mathalan mchek neymar jr ni brown color jamaa na anavutia kushinda kina cr7.
 
Aisee kama ww unapenda nyeupe.. haimaanish kuwa wote wanapenda nyeupe. Binafsi navutiwa na chocolate black color. Wako weusi wenye uzuri.

Kama vizur vyote ni vyeupe.. Mungu angefuta rangi nyeusi isiwepo duniani.
 
Lakini kama kweli

Huo msemo "black is beauty" ni kama namna ya kuencourage watu weusi waendelee kutunza uasili wao...sio kama ni big deal ama wanavutia kiviiiiile
Siku zote kitu kibaya ndio kinakuwa promoted na misemo ya kutia moyo. Kwa rangi nyeupe hata hakuna misemo kama hii 😂
 
Aisee kama ww unapenda nyeupe.. haimaanish kuwa wote wanapenda nyeupe. Binafsi navutiwa na chocolate black color. Wako weusi wenye uzuri.

Kama vizur vyote ni vyeupe.. Mungu angefuta rangi nyeusi isiwepo duniani.
Kila mtu ana chaguo lake lakini hii bado haibadilishi kama nyeusi haina mvuto.
 
kila mtu anavutiwa na anachokipenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…