hivi kwanini?

chelsea fc

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
864
211
Kwanini mwanamke hata kama anauwezo wa kifedha kuliko mwanaumme still atataka mwanaume afanye kila ki2 ukiondoa mahitaji ya ndani km chakula na v2 vingine,kwanini hawa wasaidizi wanakuwa hivyo,atataka vocha,nauli ingali anafedha za kumtosha kila k2!
 
Mungu akamwambia Adamu, kwa kuwa umemsikiliza mke wako.....kwa jasho utakula (sina uhakika kama nimenukuu exactly hayo maneno ila mantiki ni kuwa mwanaume lazima upambane)
 
Imeandikwa kuwa mwanaume atakuwa KICHWA cha familia, kwahiyo mwanaume ndo mtafutaji mwanamke ni msaidizi kwahiyo hata kama anakipato kikubwa ni juu yake kukutegemea au kujitegemea
 
Kwanini mwanamke hata kama anauwezo wa kifedha kuliko mwanaumme still atataka mwanaume afanye kila ki2 ukiondoa mahitaji ya ndani km chakula na v2 vingine,kwanini hawa wasaidizi wanakuwa hivyo,atataka vocha,nauli ingali anafedha za kumtosha kila k2!
thats wat makes a man being one!yani ni raha ile mbya kutumia hela ya mume wangu!yangu ntanunulia maua,mashuka,karoti,picha za ukutani,mayonnaise,viungo vya biriani,na any other women stuffs
 
Utegemezi tu. Mke dizaini hiyo sitaki.

tusipowaomba mnanuna mnadai tuna kiburi,tukiwaomba oh wategemezi!ah mi naomba tu tena kila siku lazima nipewe ya mafuta au nauli,zangu zina kazi nyingine jamani!
 
kutuomba hela ukiwa umekwama is one thing, kutuomba hela ya vocha, vipodozi, fuel wakati unazo pesa zako is another.
 
Kwanini mwanamke hata kama anauwezo wa kifedha kuliko mwanaumme still atataka mwanaume afanye kila ki2 ukiondoa mahitaji ya ndani km chakula na v2 vingine,kwanini hawa wasaidizi wanakuwa hivyo,atataka vocha,nauli ingali anafedha za kumtosha kila k2!

Duh! Mna wanawake wa ajabu!
 
kwani ulipomuoa ulitegemea yeye ndo akuhudumie au?
Mwanaume ndio kiongozi wa mwanamke hivyo anawajibu wa kumuhudumia kwa kila kitu, mwanamke ana maamuzi ya kutumia fedha yake atakavyo.
 
tusipowaomba mnanuna mnadai tuna kiburi,tukiwaomba oh wategemezi!ah mi naomba tu tena kila siku lazima nipewe ya mafuta au nauli,zangu zina kazi nyingine jamani!
tena napenda ile mna akaunti tatu...ya mume,ya mke na ya pamoja....halafu zote tatu mume ndo anadeposit...tehteh....
 
tena napenda ile mna akaunti tatu...ya mume,ya mke na ya pamoja....halafu zote tatu mume ndo anadeposit...tehteh....

ahahahahahahhaah we acha tu yani hadi raha!akha na tuwaombe tu mwenzngu zinapataga kazi nyingine kwa wanaoujua kuomba!ah!
 
Hiyo ni kawaida sana kwani wanawake tumeumbwa kupokea hata maumbile yetu yanapokea yenu yanatoa,kwa mantiki hiyo msilalamike jamani mkiwa mnatoa vitu vingine si tunavipokea hamlalamiki hela ndio mnaleta mada kabisa humu jamvini....
 
hujui kuishi n mke wewe..
kuishi na mwanamke inatakiwa busara//
fanya hivi mwambie naomba unikopeshe robo ya mshahara wako kila mwezi kuna kitu nafanya nitakulipa siku moja
then akikuomba hela ya vocha unampa toka kwenye hiyo hela kila kitu toa hapo ...
then mwambie nusu ya mshahara maybe mjenge au muonyeshe kitu chochote mfanye...kama wewe ni zoba ataishia tu kuzichezea...inayobaki ni keep change!
 
maisha ni kusikilizana na kusaidiana na sio kukomoana,wanawake wengi wa kibongo wana ulimbukeni huo hata kama amesoma,wanawafanya waume zao ATM na ndo maana ndoa nyingi zina migogoro now dayz kwani inafikia mahali mwanaume anachoka,wanawake wa kikenya ni majembe sana,hawana utegemezi huu wa kijinga,unaweza kushangaa sometimes yeye ndo anakutoa out kwa gharama zake,wapo fair hadi raha
 
Hiyo ni kawaida sana kwani wanawake tumeumbwa kupokea hata maumbile yetu yanapokea yenu yanatoa,kwa mantiki hiyo msilalamike jamani mkiwa mnatoa vitu vingine si tunavipokea hamlalamiki hela ndio mnaleta mada kabisa humu jamvini....

Mmhhh!!!! Haya wajamen
 
Nimeipenda hii,tumeumbwa kupokea!full stop
 
Mwanaume by nature, ameumbwa kujitegemea....tuna spirit ya kufaiti, tofauti na wanawake wameumbwa kumtegemea mwanaume, yani they have that spirit..........
 
Back
Top Bottom