HIVI KWANINI WATU NI WANAFIKI NAMNA HII

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,397
Kusema ukweli binadamu wakati mwingine huwa simwelewi anataka nini!
Kuna watu ukiwasalimia bado watakusema tu " HUYU NAYE KISA ANA......BASI ANAMSALIMU KILA MTU"
Haohao watu ukipita umefunga vioo bado wanakusema "UNARINGA" Hivi sisi binadam mbona hatueleweki tunachokitaka jamani?
Potelea mbali bora lawama, sahivi naosha tu maana ukisalimia kosa usiposalimia kosa!
Mswahili ni MTU Wa ajabu sana!
 
Mkuu vumilia usichoke, kuna wengine hata kujibu salamu hawajibu kabisa.... "You just Play your part",lazima uelewe Mungu akikujalia baraka lazima zitawakela wengine.... na sirahisi kuachana na baraka ulizonazo ili kumfurahisha binadamu hasidi asiyefurahia mema kwa binadamu wenzie.
 
Daah! Ushauri wako ni mzuri na wa kiroho zaidi! Umenitia Moyo ! Barikiwa!
 
Mbona hayo mambo ni ya kawaida sana, kuchukulia easy maisha yaendelee.
 
Wakati mwingine katika maisha haupaswi kujali watu wanafikiria/ wanaongea nini juu ya matendo yako.

Do the right things and lets the rest to the people.
 
Uki-ignore baadhi ya mambo utaishi kwa raha sana.

Tujifunze kupuuza baadhi yale yanayotukera, tunaona yanatukera kwasababu muda mwingi tunashughulika nayo.
 
Back
Top Bottom