Hivi kwanini wapinzani hawawasapoti wasanii wanaowaunga Mkono?

JOHNGERVAS

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2016
Posts
1,449
Reaction score
2,496
Ni swali tu nauliza, Mara nyingi sana wapinzani wanalaumu wasanii kuwa upande wa CCM ambao ni watesi wao lakini hao wasanii ndio wanapewa attention kubwa sana wakipost chochote kwenye mitandao yao wanawapa sapoti.

Ishu ni kwamba wale wasanii ambao wanawaunga Mkono mfano kina nay wa mitego, Roma,Rosa Ree yaani wala Wapinzani hawana Muda nao.

Mfano tu juzi kati hapa zimepita wiki mbli Rosaa Ree ameachia wimbo wake sauti za masikini
View: https://youtu.be/KsfSgqQJH3c?t=4 lakini hadi sasa una viewers 56k tu. sasa hao watesi wameachia nyimbo kwa muda huo huo wana viewers 1M+ JE Kwanini wanaowaunga mkono musiwasapoti?

Musipowapa sapoti njaa zikizidi si wataona waungane na mboga mboga? basi sasa inabidi wapinzani wabadilike kwa kweli tumsapoti hata huyu dada jasiri Rosa ree link yake hii hapa
View: https://youtu.be/KsfSgqQJH3c?t=4 na nyingine pia tusapoti
 
Watu kama wewe ndiyo tatizo. Nasema hivi kwa sababu wewe unadhani wapinzani tu ndiyo wenye jukumu la ku-support na kuleta mabadiliko. Hii ndiyo njia inayotumiwa na CCM kugawa watu. Sahihi ungeuliza: mbona wananchi kwa umoja wetu hatu-support hawa wasanii na kuwakataa hao wa CCM? Mtu kama Diamond anabeza na kutukana wananchi kwa umaskini wao lakini bado hao hao maskini ndiyo wanakimbilia nyimbo zake na kumpa support. Jibu ni kuwa watu wengi hawajitambui.
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Kila mtu anafanya kwa nafasi yake kwaajili ya taifa, sidhani kama hao wasanii wanafanya kwaajili ya chama au jumuia ya upinzani, wanatoa mchango wao wa mawazo kwa njia ya sanaa kwa taifa lao.

Huitaji kuwa na chama cha siasa kukosoa, kupongeza, na kuelekeza taifa liendelee.
 
sawa sahihi kbisa
 
swali ni kwanini hawapewi sapoti? wale wanaowabeza na kuwatukana ndio wanawaunga mkono zaidi
 
Nani hawapi sapoti? Kuna mahali wamelalamika? Unaona sapoti anayopewa Polepole na upinzani sasa hivi, unadhani kwanini chama chake kiko kimya?
 
Mkuu acha kusumbuka na watanzania, watanzania ni watu wanadiki sana. Wakati unawambia ukweli usije ukaishia kutukanwa wewe
 
Wakikamatwa utaona sapoti ya wapinzani watakavyotoa matamko na wala sio Serikali au ccm itatoa hata mwanasheria kuwatetea

Suala la viewers sio la chadema ila ni la raia wafuatiliaji wa muziki wa harakati kwa ujumla ni wachache wengi wanafuatilia singeli na nyimbo za matusi za kina mondi kwahiyo usilaumu wapinzani laumu jamii kwa ujumla

Mwisho: Bangi ipigwe marufuku maana haina mchango wowote kwa vijana wa taifa hili, inakuwaje kijana anavuta bangi lakini anaogopa mabomu ya machozi upuuzi tu
 
Ni swali tu nauliza, Mara nyingi sana wapinzani wanalaumu wasanii kuwa upande wa CCM ambao ni watesi wao lakini hao wasanii ndio wanapewa attention kubwa sana wakipost chochote kwenye mitandao yao wanawapa sapoti.

Ishu ni kwamba wale wasanii ambao wanawaunga Mkono mfano kina nay wa mitego, Roma,Rosa Ree yaani wala Wapinzani hawana Muda nao.

Mfano tu juzi kati hapa zimepita wiki mbli Rosaa Ree ameachia wimbo wake sauti za masikini
View: https://youtu.be/KsfSgqQJH3c?t=4 lakini hadi sasa una viewers 56k tu. sasa hao watesi wameachia nyimbo kwa muda huo huo wana viewers 1M+ JE Kwanini wanaowaunga mkono musiwasapoti?

Musipowapa sapoti njaa zikizidi si wataona waungane na mboga mboga? basi sasa inabidi wapinzani wabadilike kwa kweli tumsapoti hata huyu dada jasiri Rosa ree link yake hii hapa
View: https://youtu.be/KsfSgqQJH3c?t=4 na nyingine pia tusapoti

Tanzania hakuna chama cha upinzani ila upinzani upo hiyo ndiyo sababu ..
 
🤣🤣🤣 tanzania tuna safari ndefu sana! Wewe ndio hujaelewa, hawawaungi mkono chadema bali wanawaunga mkono wananchi, hao wasanii wengine hapo hata vyama hawana.
 
Back
Top Bottom