Hivi Kwanini Wanawake Wana Wivu Sana??

Hivi Kwanini Wanawake Wana Wivu Sana??

adakiss23

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
4,896
Reaction score
5,259
Najaribu Kujiuliza Sipati Jibu Ina Maana Wao Wanapenda Kuliko Sisi Au??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wana wivu sio kwa sababu wanapenda sana bali kwa kuwa wanajua utamu unatofautiana sasa labda huyo mwengine akikupa utaupenda utamu wake zaidi.
wasikudanganye eti nyama ile ile
 
Wanawake mabingwa tu wa kujifanyisha, manake wanaume nyie bila mtu kuwa na wivu mnahisi hampendwi, mtu akiwa na wivu msumbufu!!!!!!!!!!! MTU AFANYAJE MRIZIKE!!!!!!!!!
 
Najaribu Kujiuliza Sipati Jibu Ina Maana Wao Wanapenda Kuliko Sisi Au??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

It's a sigh of insecurity and low self esteem .mwanamke kujiamini muhimu
 
Ni wachoyo sana wanataka wamiliki ukuni peke yao bila kushare
 
hivi aliyemfungwa mwezie kufuli kwenye pipi ni mwanamke?
 
Nature yao ni kutohangaika hivyo huwa waoga sana.
 
Nyie wanaume ndo mbaya zaidi maana wengi mnaweza hata kuua.
 
Wanawake mabingwa tu wa kujifanyisha, manake wanaume nyie bila mtu kuwa na wivu mnahisi hampendwi, mtu akiwa na wivu msumbufu!!!!!!!!!!! MTU AFANYAJE MRIZIKE!!!!!!!!!

Wachache tu ndio wana mapenzi ya kweli lakini wengine wanakuweka tight tu ili usiende kwengineko!
Na hii inategemea na performance ya huyo mwanaume! Ila kwa bahati mbaya wale wanao perform vizuri
ndio inakuwa hawakamatiki!!!
 
Mwanamke huwa na wivu sana kuliko mwanaume kwa sababu hawapendi kabisa kushare dudu, hata chakula kizuri mwanamke hapendi kushare na wenzake, yeye na mumewe bhaas, hakuna cha mama mkwe wala nani. hivi ndivyo walivyoumbwa, lakini wanaume nao wana wivu pale wanapokuwa hawajiamini kama wapo peke yao.
 
Back
Top Bottom