Hivi kwanini wanawake hampendani?

Sheria gani inasema mwanamke ndio anayetakiwa kumpisha mjamzito kwenye basi? Acha fikra dume ni wajibu wa kila mtu kumsaidia mtu yeyote asiyejiweza awe mjamzito, mzee nk bila kujali jinsia hizi fikra dume zimepitwa na wakati kitambo sana
 
kwa sababu anakuwa haoni kwamba gari imejaa,kweli hatupendani
 
vizuri kwa kufunguka
 
Sheria gani inasema mwanamke ndio anayetakiwa kumpisha mjamzito kwenye basi? Acha fikra dume ni wajibu wa kila mtu kumsaidia mtu yeyote asiyejiweza awe mjamzito, mzee nk bila kujali jinsia hizi fikra dume zimepitwa na wakati kitambo sana
soma vizuri mkuu uielewe
 
Tenda tu wema wende zako yaheeee. Ngoja uzoee kubana siku moja mdada mjamzito akiwa amesimama kwenye coasta mara huyo kizunguzumgi na mara kamtapikia alokuwa kabana kajifanya kala usingizi kumbe ndo tinted zake ili asimpishe seat. Napendekeza mkaguea hali walizonazo wajawazito kabla huja funga vimacho kujifanya umelala.
 
Umegenerelize mkuu,sio wote mbona mimi naona mara nyingi tu wanawake ndo hua wanainuka kumpisha kama aliekaa ni mdada..wangekua hawapendani kila siku tungeskia maugomvi
 
Upo sahihi kabisa ,wakuu wangu wa Nazi wote ni wanawaje wanapitaka kuajiri kigezo kimojawapo hawataki wanawake wenzao kazin tupo around 26 wanawake wa kuajiriwa ni wa 4 tu.
 
Sasa upo kituoni kama makumbusho mtu kaona gari imejaa naye anaingia humo kisa anamtoto hapo wewe umesubili gari yenye siti hapo mbagala au g /mboto moja kanini asisubilie gari yenye nafasi ,hata mie simpishi wengine kutwa kuzurula na watoto utamkuta mtaani kila siku kusalimia watu wasimame tu mbona hata sie tuna simama wala hulazimishi mtu akupishe
 
Kuna mwingine mara mimba imetoka nikamwambia unaendaga wapi kila siku na huna ajira huko? Kila siku unasafiri hivi unashida gani kila msiba lazima ahudhurie mpaka mimba zinamporochokea huko huko
 
Dah.....Kingine kibaya zaidi....unapompa makavu.....yeye anamtusi mama au Dada yako ambaye ni mwanamke mwenzie[emoji87] [emoji41] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…