Kumbe ishu ni utamaduni...km ni hivyo inabidi tubadikishe mtazamo, maana magonjwa mengi yanaanzia chooniUtamaduni wetu sio choo km kipaumbele,nafkiri ndio mda muafaka wa kubadirisha fikra.
Hii excuse bado haijaniingia akilini ...unakuta the same family wanatumia hadi millioni mbili kununua tv, huku choo kikiwa kina hali mbaya kbsautafiti wako haukuzingatia vitu muhimu.
Jua kabisa kwa nyumba nyingi za zamani, sebule na sehemu nyingine ni rahisi kufanyiwa marekebisho au upambaji ili kubadili mandhari mfano kutoa makochi ya kizamani na kuweka sofa, kutoa tv ya kichogo na kuweka flat, na vitu vingine, ila choo mkuu ni kazi, kama ni cha shimo ili kiwe cha kuflash labda ujenge kipya na sewage system mpya, kama ni cha sink ha sakafu ya kawaida, siku ukisema uweke malumalu ile sink inabaki chini sakafu inakuwa juu juu na muonekano unakuwa mbaya zaidi
Mbona unaguna bibie!!! Vipi nimekugusa?mmmh!
Choo kipi mkuu ni kile cha nyumbani au kile kinachobebwa na kina dada?Hii ni kwa mujibu wa utafiti wangu binafsi . Utakuta mtu nyumbani kwake kuna sofa za maana, chini kuna zulia la hadhi ya ikulu. Tv nchi 42 ikipewa sapoti na vinga'amuzi km vitatu tofauti!!! lakini achana na ivo vyote omba uonyeshwe choo kilipo , unakuta choo ni kichafu mpaka kimeota ukungu mweusi.kinatoa harufu kali yaani hta km umebanwa haja utajihisi haja kupotea
Sasa mi huwa najiuliza! Kwanini wabongo huwa hatujali kbsa linapokuja suala la choo lakini tupo tayari kutumia hta millioni 2 kwa ajili ya vitu luxury km tv???
Aisee[emoji1] [emoji1] [emoji1]Choo kipi mkuu ni kile cha nyumbani au kile kinachobebwa na kina dada?
How fafanuaKwa sababu ni kidogo😎😎
Ila Kweli. Uchafu pia unachangia kizidi kunuka.watu wengine Licha ya ubaya wa Choo lkn pia hawafanyi usafiHii ni kwa mujibu wa utafiti wangu binafsi . Utakuta mtu nyumbani kwake kuna sofa za maana, chini kuna zulia la hadhi ya ikulu. Tv nchi 42 ikipewa sapoti na vinga'amuzi km vitatu tofauti!!! lakini achana na ivo vyote omba uonyeshwe choo kilipo , unakuta choo ni kichafu mpaka kimeota ukungu mweusi.kinatoa harufu kali yaani hta km umebanwa haja utajihisi haja kupotea
Sasa mi huwa najiuliza! Kwanini wabongo huwa hatujali kbsa linapokuja suala la choo lakini tupo tayari kutumia hta millioni 2 kwa ajili ya vitu luxury km tv???
Tena kwenye nyumba za kupanga ndyo majanga zaidiIla Kweli. Uchafu pia unachangia kizidi kunuka.watu wengine Licha ya ubaya wa Choo lkn pia hawafanyi usafi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu nazungumzia kile ambacho binadamu wa jinsia zote tunakitumia!!kuna vyoo viwili unazungumzia choo kipi??
Watu wanategeana. Kuna sehemu nlienda nyumba Hizi za kupanga.. Unaweza Rudi na mzigo wako nyumban, watz Mungu anatuonaTena kwenye nyumba za kupanga ndyo majanga zaidi
Kuna kipindi nilienda uganda nikakutana na tatizo hili hili ...inaonekana ni tatizo letu waafrica kwa ujumla km uliskia juzi kati harare kulilipuka kipindupindu na watu kadhaa walifarikiWatu wanategeana. Kuna sehemu nlienda nyumba Hizi za kupanga.. Unaweza Rudi na mzigo wako nyumban, watz Mungu anatuona