inashangaza sana hasa kwa nini utawala wa serikali uliopita haukuweza kuyaona haya MAJIPU UCHUNGU yanayotumbuliwa na MAGUFULI NA MAJALIWA, tunashuhudia majipu lukuki majipu ya TRA,TPA,BANDARI, TIPER,WIZI WA MITA ZA MAFUTA,NK. swali la kujiuliza je ni kweli awamu iliyopita hatukuwa na serikali? jamani wataalamu karibuni mtujuzeni hapa