deo paul555
JF-Expert Member
- Oct 22, 2018
- 1,405
- 520
Habari wadau,naomba kujuzwa radio za mwanzo za FM usikivu na nguvu ni kubwa tofauti na ziliozoanzishwa hivi karibuni,je mitambo iko tofauti au sababu ni nini?
Wasafi wana distortion za kufa mtu sijui hawana technicians wanaojua kaziKweli aisee. Nilitegemea Wasafi radio yao ingekuwa STEREO ila cha ajabu nasikia MONO yenye distortions za ajabu ajabu. Wameishia kuboresha muonekano badala ya usikivu.
Best radios zenye usikivu mzuri bongo
RFA
EARadio
RadioOne
EFM
TimesFM
CapitalRadio
Kweli aisee. Nilitegemea Wasafi radio yao ingekuwa STEREO ila cha ajabu nasikia MONO yenye distortions za ajabu ajabu. Wameishia kuboresha muonekano badala ya usikivu.
Best radios zenye usikivu mzuri bongo
RFA
EARadio
RadioOne
EFM
TimesFM
CapitalRadio
usikivu mzuri mnazungumzia nini crispyness au?..
Utu uzima dawa mkuu,Habari wadau,naomba kujuzwa radio za mwanzo za FM usikivu na nguvu ni kubwa tofauti na ziliozoanzishwa hivi karibuni,je mitambo iko tofauti au sababu ni nini?