Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,446
- 8,082
Hongereni kwa shule kukarabatiwa,nilikuwa Chaburuma,F4 1998-2001.Aise ifunda saivi ni moto wa kuotea mbaliii , shule imekarabatiwa huwezi amini ni ya govt.
Mazingira yake duuh I'm proud to be student of Ifunda the glory
Hataree 2.5 bil so mchezoIfunda the glorious,technical secondary school viva.
With our motto,skills and efficiency.
We shall be our nation ....nimesahau bana malizieni na nyie[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122].
Nikuonesha karakana huwez amini kila kiu newHongereni kwa shule kukarabatiwa,nilikuwa Chaburuma,F4 1998-2001.
Weka hapa tuone shule yetu ilivyo!Nikuonesha karakana huwez amini kila kiu new
Duu tunavumiliainfact shule iko vzur, ila baridi la hapo ni shida mazee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haujawahi mwacha mtu salamaMsuli wa Advance utabaki pale pale [emoji23]
So mchezoo saiv bwalo kama escapeoneNi vizuri aisee
Nimemaliza hapo mwaka huu
Nimeacha ndo wanaanza kubomoa mabweni
Kweli mkuu komaa kibishibishiDuu tunavumilia
Hahaaaa mkuu kumbe ww ni school mate, mm nilkuwa pale advance 2007-2009Ifunda the glorious,technical secondary school viva.
With our motto,skills and efficiency.
We shall be our nation ....nimesahau bana malizieni na nyie[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122].
I remember mwaka 2007 zero zilikuwa za kutosha zika fanya form 5 kuhama kama nusu hivi. Maana tulidahiliwa 400+ tukabaki 200+ mpaka kumaliza 2009[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haujawahi mwacha mtu salama
Hahaha chabuurumaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hongereni sana.
Nimemaliza hapo 2008.
Nilikuwa pale Chabu F2
Seuta!!!!Hahaaaa mkuu kumbe ww ni school mate, mm nilkuwa pale advance 2007-2009