dist111
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 3,972
- 3,588
unamaanisha kwamba hakuna uaminifu ndan ya mahusiano totaly is that what you mean?
Mapenzi na uaminifu ni tofauti kbs mkuu!
Kani hujawahi sikia mtu hageuki kwa CD (Changu) wengine mpaka wanawaoa na wakijua kazi yao kbs....