Hivi kwanini sipendi?

Hivi kwanini sipendi?

CALMAN

Senior Member
Joined
May 23, 2013
Posts
190
Reaction score
56
Jamani mwenzenu nasumbuliwa sana na hii tabia; Kila ninapokuwa na jamaa zangu tukizungumzia masuala ya mahusiano huwa tunazungumza mengi sana kuhusu wanawake lakin wakishaanza tu kuzungumza kuwa wanawake ni wasaliti, wanapenda pesa zaid kuliko mapenz ya kwel na pia lazma agegedwe na watu wengi nje ya mpenz wake, ndpo hujikuta nikibisha na kuwatetea vikali mpaka tunataka kupgana na mwisho nimejkuta nawachukia san jamaa zang kwa wanachokisema, naomben mawazo yenu juu ya hili ili nicje umizwa baadae na wapenz wng. nawaclisha
 
Inawezekana mpenzi wako wewe ni mtu mwema sana, kiasi kwamba unadhani wanawake wote ni wema hivyo, labda kwa vile hujawahi kukutana na maurumbembe mgando.... Hivyo kila wakisemwa basi we unahisi anayesemwa ni mpenzi wako. Kimsingi hakuna apendaye mpenzi wake asemwe
 
Inawezekana mpenzi wako wewe ni mtu mwema sana, kiasi kwamba unadhani wanawake wote ni wema hivyo, labda kwa vile hujawahi kukutana na maurumbembe mgando.... Hivyo kila wakisemwa basi we unahisi anayesemwa ni mpenzi wako. Kimsingi hakuna apendaye mpenzi wakel asemwe

Nashukuru kwa ushauri inawezekana kuna ukweli ktk hil pia
 
Jamani mwenzenu nasumbuliwa sana na hii tabia; Kila ninapokuwa na jamaa zangu tukizungumzia masuala ya mahusiano huwa tunazungumza mengi sana kuhusu wanawake lakin wakishaanza tu kuzungumza kuwa wanawake ni wasaliti, wanapenda pesa zaid kuliko mapenz ya kwel na pia lazma agegedwe na watu wengi nje ya mpenz wake, ndpo hujikuta nikibisha na kuwatetea vikali mpaka tunataka kupgana na mwisho nimejkuta nawachukia san jamaa zang kwa wanachokisema, naomben mawazo yenu juu ya hili ili nicje umizwa baadae na wapenz wng. nawaclisha

una wapenzi wangapi unaoogopa watakuumiza.............,
afu kama una hako katatizo mbona hum JF ungekuwa umegombana
na wengi sana.......,

Sio wanawake wote wana tabia mbaya wapo wenye kujielewa na hekima
 
naomben mawazo yenu juu ya hili ili nicje umizwa baadae na wapenz wng. nawaclisha

Siku ukipata mpenzi tu, basi haraka njoo hapa tukushauri...la sivyo na sisi tutakuumiza tu hapa kwa mishauri lukuki wakati hata hao wanawake huna experience nao...
 
Mbona wanawake waaminifu wapo, tena kwakuongezea wapo mpaka wanaojuni kupenda na kumthamini aliyenae.

Ila tukiongelea kwenye swala la usaliti sidhani kwamba wanawake pekee ndio wasaliti pia kuna wanaume wasaliti na wasiojua nini maana ya mapenzi. Japo pia wako wale wenye kujua nini maana ya mapenzi.

CALMAN chamsingi mpende mwenzako kwa kadiri ya uwezo wako na wala usigombane na rafikizo kisa ya mada. Ukiona dalili za kugombana na rafikizo kisa ya hiyo mada ni bora ukawa mpole na kuondoka na kuwaacha.
 
Uliyoyasikia ndugu yangu hayapo mbali na ukweli, japo haya mambo huwa ni high percent lakin haiwezekan kuwa wote co kila mtu kaumbwa kivyake
 
Hakuna mpenzi mwema (mwanamke/mwanaume)

Muhimu ni kuwa ukimpenda mtu mpenda kwa moyo/nguvu na akili zote mpaka mapenzi yatakapoisha, na yakiisha mwambie ukweli kila mtu ashike hamsini zake.
 
Husigombane na rafiki zako kisa mapenzi. Kila mtu kaumbwa na hulka yake. Hivyo omba Mungu akupe mpenzi mwenye mapenzi ya kweli.
 
una wapenzi wangapi unaoogopa watakuumiza.............,
afu kama una hako katatizo mbona hum JF ungekuwa umegombana
na wengi sana.......,

Sio wanawake wote wana tabia mbaya wapo wenye kujielewa na hekima

kwa sasa nina mpenzi moja, i real dislike the men to hate women nashukur kwa majibu yako
 
Mbona wanawake waaminifu wapo, tena kwakuongezea wapo mpaka wanaojuni kupenda na kumthamini aliyenae.

Ila tukiongelea kwenye swala la usaliti sidhani kwamba wanawake pekee ndio wasaliti pia kuna wanaume wasaliti na wasiojua nini maana ya mapenzi. Japo pia wako wale wenye kujua nini maana ya mapenzi.

CALMAN chamsingi mpende mwenzako kwa kadiri ya uwezo wako na wala usigombane na rafikizo kisa ya mada. Ukiona dalili za kugombana na rafikizo kisa ya hiyo mada ni bora ukawa mpole na kuondoka na kuwaacha.

huwa nagombana just bcoz of my internal feelings huwa cpend wasemwe vibaya! asante kwa majibu yako!
 
Husigombane na rafiki zako kisa mapenzi. Kila mtu kaumbwa na hulka yake. Hivyo omba Mungu akupe mpenzi mwenye mapenzi ya kweli.

i will try in my level best to keep away from contradictory discussion mana ntajategua mtu kiuno bure! asante kwa ushaur wako
 
Husigombane na rafiki zako kisa mapenzi. Kila mtu kaumbwa na hulka yake. Hivyo omba Mungu akupe mpenzi mwenye mapenzi ya kweli.

i will try in my level best to keep away from contradictory discussion mana ntajategua mtu kiuno bure! asante kwa ushaur wako!
 
Jamani mwenzenu nasumbuliwa sana na hii tabia; Kila ninapokuwa na jamaa zangu tukizungumzia masuala ya mahusiano huwa tunazungumza mengi sana kuhusu wanawake lakin wakishaanza tu kuzungumza kuwa wanawake ni wasaliti, wanapenda pesa zaid kuliko mapenz ya kwel na pia lazma agegedwe na watu wengi nje ya mpenz wake, ndpo hujikuta nikibisha na kuwatetea vikali mpaka tunataka kupgana na mwisho nimejkuta nawachukia san jamaa zang kwa wanachokisema, naomben mawazo yenu juu ya hili ili nicje umizwa baadae na wapenz wng. nawaclisha

We unamuogopa mpenzi wako dats why?
 
Hakuna mpenzi mwema (mwanamke/mwanaume)

Muhimu ni kuwa ukimpenda mtu mpenda kwa moyo/nguvu na akili zote mpaka mapenzi yatakapoisha, na yakiisha mwambie ukweli kila mtu ashike hamsini zake.

unamaanisha kwamba hakuna uaminifu ndan ya mahusiano totaly is that what you mean?
 
Siku ukipata mpenzi tu, basi haraka njoo hapa tukushauri...la sivyo na sisi tutakuumiza tu hapa kwa mishauri lukuki wakati hata hao wanawake huna experience nao...

nshapita sana huko but kwa sasa nina mpenz moja ila tabia ya rafiki zangu kuwasema vibaya wanawake ndizo zinanikera huwa najikuta nakacrika san! why generalization and not specfic citation?
 
++
Usikatae mapito ya wengine ikiwa wewe Mola kakupa njia nyoofu.

worry out ts gud idea let it be challenge to me tatizo huwa hawaweki waz kuwa ni mapito walopitia ukiuliza ushawahi tendwa utackia hapana so why are you hating women wangelikuwa huwa wanasema ni mapto yao hata nicngekuwa nachukia. coz no research no right to speak
 
Back
Top Bottom