Hivi kwanini renji na discover zikizeeka zinakonda

Hivi kwanini renji na discover zikizeeka zinakonda

ukipita na hii nakupigia kelele barabara nzima hadi usimame
images-jpg.570756
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kma alivyo Binadam akizeeka hamu ya kula hupungua kushindwa kufanya mazoezi au kazi nzto so lazma mwli unyong'onyee kwa hayo magri huwa yanakosa hamu ya kutumia mafuta ambayo ndo chkula chake pia kushndwa kuwa na uwezo wa kwnda mwndo mrfu so lazma ZIKONDE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zikonde kwann mbona baby walker zani utapiamlo na hazikonde sembese gari za mkoloni
 
Hivi umeona wapi nguo/viatu vya mwenye pesa vinachoka? RR haiwezi kuchoka,wewe ukichoka utapaki kabla haijachoka.
Ila bro chunguza mabody ya discovery v8 ni mepesi na yanachoka vibaya mno
 
Back
Top Bottom