MAGHAYOO
Senior Member
- May 1, 2017
- 146
- 266
Nimefanya tafiti yakinifu nakugundua haya magari ya muingereza yaliyojizolea sifa duniani nakuwa kama nembo la taifa Lao yakizeeka yanakonda, kusinyaa na kuchukiza sana.
Yakiwa mapya kama hili hapa chini la mwaka huu lipe hadi 2022 hutalitamani.
Ukiyaona sasa hivi landrover discovery ya miaka ya nyuma unabaki kukata tamaa na magari ya muingereza. Vogue na sport za miaka ya nyuma ukiziona sasa dah. Muingereza hapa kachemka.
Mjapani bana kwenye VX V8 achana Toyota weyee renji haoni ndani.
Nawakilisha