Oscar Wissa Senior Member Joined Sep 5, 2018 Posts 128 Reaction score 196 Jul 27, 2024 #1 Hawataki kuolewa na wanaume wasio na pesa nyingi, ila wanataka kaka zao wasio na pesa nyingi waoe.
C Covax JF-Expert Member Joined Feb 15, 2021 Posts 13,673 Reaction score 41,104 Jul 27, 2024 #2 Evangelist Oscar Maulid said: Hawataki kuolewa na wanaume wasio na pesa nyingi, ila wanataka kaka zao wasio na pesa nyingi waoe. Click to expand... Nwanamke iko tatari kuvumilia umasikini wa baba yake ila haiko tatari kuvumilia umasikini wa mwanaume wake, very intresting.
Evangelist Oscar Maulid said: Hawataki kuolewa na wanaume wasio na pesa nyingi, ila wanataka kaka zao wasio na pesa nyingi waoe. Click to expand... Nwanamke iko tatari kuvumilia umasikini wa baba yake ila haiko tatari kuvumilia umasikini wa mwanaume wake, very intresting.
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,953 Reaction score 56,079 Jul 27, 2024 #3 Hawaeleweka(gi)
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,529 Reaction score 109,004 Jul 27, 2024 #4 Covax said: Nwanamke iko tatari kuvumilia umasikini wa baba yake ila haiko tatari kuvumilia umasikini wa mwanaume wake, very intresting. Click to expand... Am not sure kama Adam alizaa na Lilith. Kama walifanikiwa kuzaa basi kuna kizazi cha tumbo la Lilith na tumbo la Hawa. Ukiwachunguza vizuri wanawake hawafanani ingawa wanaume tunaamini wanawake wote ni sawa. Kuna some missing scripture.
Covax said: Nwanamke iko tatari kuvumilia umasikini wa baba yake ila haiko tatari kuvumilia umasikini wa mwanaume wake, very intresting. Click to expand... Am not sure kama Adam alizaa na Lilith. Kama walifanikiwa kuzaa basi kuna kizazi cha tumbo la Lilith na tumbo la Hawa. Ukiwachunguza vizuri wanawake hawafanani ingawa wanaume tunaamini wanawake wote ni sawa. Kuna some missing scripture.