Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,961
- 4,663
tuwekane sawaaa hivi kwann wabeba chuma wengi haswaa wa kibongo hawanaga mbele yaan hamnaga kitu hapo mbele naamanisha wanavibamiaa inaa maana nyama za chini zinahamiagaa kwenye vifuaa au???
manake unakuta wapo flat kama wamepigwaa pasi tatizo ni nini ??View attachment 519678View attachment 519679View attachment 519680
N:B nataka kubebaa vyumaaa naogopaa kupotezaaa hogo langu nikawa kama wao!!
Hukujua jinsi ya kupresent swali lako ungeuliza hivi kunyanyua uzito kuna uhusiano na kukonda kwa dudumizi,sasa ona unaonekana unakagua wizara za kugegeda na uzazi za wenzako