Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,481
- 11,688
Ikiwa nzuri inavutia kuangalia bora ww unaona chup kuna wengine unaona mfereji kbs
Hata nyinyi hamthamini boxer zenu tena sijui uwa mnavaa kwa wiki mana uwa na rangi za ziada...
Hata nyinyi hamthamini boxer zenu tena sijui uwa mnavaa kwa wiki mana uwa na rangi za ziada...
Kuna siku nliona mdada kavaa chupi ilochanika...yani me ndo nikaona aibu...!
Vaeni blauzi ndefu ndefu jamani..
Kuna siku nliona mdada kavaa chupi ilochanika...yani me ndo nikaona aibu...!
Vaeni blauzi ndefu ndefu jamani..
sio chupi sema kuthamini miili
sawa, tuthamini miili yetu bas jaman wadau. Na wale wapenda kata k na boxer chafu si vema. Hata kama ni safi si lazma uonyeshe
Kwa nini msivae nguo zinazositiri miili yenu?? Mtu anavaa sketi fupi kupita maelezo, mwone sasa anavyokazana kuivuta ifike magotini, ujinga mtupu.
Wengine kazi kuvaa miboxer michafu, wiki nzima na hizi kata K, hata aibu hawana njiani hata kanisani ni milegezo na visketi vifupi tu.. Ujinga mtupu...!