Hivi kwanini Channel 10 haikui kama vituo vingine?

mohamed18

Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
57
Reaction score
6
Hii Channel ni ya siku nyingi sana pamoja na CTN hata DTV kwann hazifiki kule wengi tunapozitegemea kufika.

Nauliza
 
Kufika Level zipi? Ebu weka tafiti zako zinazoonyesha kwamba ch10 haikui? Tuanze mwaka let's say 96 kulikuwa na watangazaji wangapi na sasa wapo wangapi? Walianza na mtaji gani na sasa mtaji wao umefikia wapi? Coverage yao ipo vipi walianza mikoa mingapi na sasa wana cover mikoa mingapi? Upande wa matangazo je wanapata matangazo mangapi?
 
Upo hapo nini unavuta mwisho wa mwezi maana ulivyokuja kwa kasi mkuu sio bure
 
Back
Top Bottom