Hivi kwanini CHADEMA hawahojiwi kwanini hawana hata ofisi ya maana japo wanajua kuna hela za ruzuku na michango ya Wabunge?

Wewe nani kakuhoji unafanyakazi mwaka wa tano huu unalipwa mshahara mnono na hujajenga kibanda wala choo,kazi kula na kulala kwa shemeji yako tu?
Mimi Sio mjinga Kama nyie nyumbu hahahaha pakulala ninapo
 
Ofisi hazina kazi. Mwenyekiti wao anamiliki nyumba Dubai, Nairobi, South Africa, Uingereza na USA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…