Hivi kwanini CCM hawakumfungulia kesi Zitto?

club billicana inaharibu vijana wangapi ambao wanaingia kwenye madawa ya kulevya kwa mwaka.kweli mbowe ni janga la kitaifa
 
Yaani kama mtu yeyote anayeijua siasa ni lazima atamtabiria makubwa Zitto kabwe na kumpa heshima ya mchango wake katika taifa hili,je hiui unajua kushuka kwa dola ni juhudi zake Zitto,ni mshauri wa rais wa russia na german katika masuala ya uchumi afrika,kasuluhisha mgogoro wa waasi wa kongo na serikali,huyu anaheshimika kimataifa ndani,jipangen vizur hamuwez kuzuia kuwa rais 2015 na mmuambie kubenea aongeze juhudi labda atafanikiwa
 
Zitto kwa anaye jua siasa utakubaliana nami kuwa Mh zitto ni muhimu sana kwa chadema kuchukua nchi 2015
 
Back
Top Bottom