Hivi kwani Rais haruhusiwi kuwa na mawazo yake au kuamua anavyoona sawa?

Umesoma mpaka la ngapi bro?unaelewa maana ya katiba? naomba niishie hapo
 
Rais ni taasisi.
 
Familia tu ndio utaweza kuiendesha kwa mawazo binafsi,sehemu ya kazi na unalipwa mshahara hauwezi kuendesha kwa mawazo binafsi.
 
Umesoma mpaka la ngapi bro?unaelewa maana ya katiba? naomba niishie hapo
Nimeishia la nne b, ila hiyo hainizuii kufahamu kilichoandikwa katika ibara ya 37 (1) ya katiba hiyo unayoizungumzia, kama ni ya Tanzania lakini.
 
Asante kwa shule nzuri mkuu, ningependa pia kujua ni circumstance gani ambazo Rais anaweza kufanya maamuzi yake binafsi bila kusikiliza ushauri wa washauri wake.
 
afanye maamuzi lakini afuate utaratibu wa katiba
Sasa kama katiba inamruhusu kutofuafa ushauri mpaka pale kunapokua na ulazima wa kufanya hivyo kikatiba si anakua amefuata katiba?
 

Hapaswi kutoka nje ya katiba
 


You know the words but you miss the meaning! Pole
 
Sasa kama katiba inamruhusu kutofuafa ushauri mpaka pale kunapokua na ulazima wa kufanya hivyo kikatiba si anakua amefuata katiba?

Katiba haijampa mamlaka kupanga bajeti

1. Uwanja chato nani kapanga bajeti?

2. Bombadier nani kapanga bajeti

Haruhusiwi kuoverride katiba

Hakuna kufanya siasa yeye anafanya siasa dodoma kila wakati

nk
 
Anaruhusiwa kuwa nayo kwa ajili ya familia yake, lakini kuogoza anatakiwa kufuata katiba, sheria, kanuni na taratibu. Cheo cha Rais siyo cha mchezo mkuu, hapo amewekewa washauri wa kila aina maanake kabla ya kutamka chochote lazima awaconsult wataalamu wake kwanza. Hao wataalamu wanalipwa kwa kazi hiyo tu kumshauri Mhe sana
 
Maana ya kuwa na katiba ni nini? Je akitumia mawazo yake kutupeleka kubaya iweje?
 
Itakuaje Kwa mfano Kwa kaimu j
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…