Ndugu yangu mwanamke ni sawa na msitu mnene, lakini ukiingia ndani kweupe, sisi kule kwetu ulaya kuna methali inasema ivi :MAGURU YEDI KWA HALE: maana yake MILIMA MIZURI KWA UONO WA MBALI LAKNI ISOGELEE UONE KAMA NI MIZURI! we angalia Mlima Kilimanjaro ulivyo mzuri lakni panda uone, kuna makorongo, majabali nk. lakni ukiwa mbali hayo yote huyaoni. Hivyo ndivyo walivyo wanawake hawatofautiani na hii methali ya kikwetu.