Yawe
Member
- Apr 5, 2013
- 47
- 2
Wana JF
Naomba mnijuze maana nashindwa kupata jibu sahihi hivi Ni kwa nini tumewachagua wabunge kutuwakilisha bungeni endapo hata kile wanachopaswa kuwatetea waliowapeleka inakuwa ngumu? Hivi hoja Za maana mbona wanaruka viunzi hawataki kiwajibikia wananchi wao? Hata kitu chenye manufaa kwa wananchi kwa ujumla inakuwa tatizo kulofanyia kazi? Basi watuambie wako kule kwa ajili ya matumbo yao na sio wananchi! Especially hawa WA CCM