Hivi Kwa nini mtu unajirekodi?

Hivi Kwa nini mtu unajirekodi?

Naomba unitimie kama hutojali sijaiona
Video ninayo shida sijui kuituma humu jf

Ujue nini utamu ukinoga ni shida maana mchungaji kwa mkono wake aliitegesha camera vizuri ili kuchukua tukio zima

Utamu wa ngono ni ukichaa tumsameheni bure tu maana na wengineo zingerekodiwa tungepoteana humu
 
hii inatokea pale ambapo mnakua mmeshafanya mambo yote..mnaanza kutafuta jambo jipya
 
Kuna function 2 kwanza kumbukumbu ya kuvutia hisia, chaputa wamenielewa

2 ni lengo la kutafuta kiki au kukomoana incase mkaachana wakati mmoja wenu hakua tayari muachane.

Wataalamu wa mambo wanasema hapa duniani kuna vitu viwili vya kuogopa,, kwanza Mungu then teknolojia hivyo vijana wenzangu nawasihini tuwe makini starehe ya siku moja isije haribu future nzima.
 
Daah ..umbu mbumbu tu ...nothing else
 
Back
Top Bottom