Hivi Kwa nini mtu unajirekodi?

Inashangaza kwa kweli...kimsingi wanaojirekodi ndio wale wale wanaofake miguno

Unayo hiyo video unitumie?sijaiona nasikia tu watu wanaiongelea
Hahaha ndio umeingia online mida hii?
 
Huwa sielewi kabisa.na sijui lengo ni nini.

Kwa nini mtu hujirekodi wakati wa mgegedo .

Je utamu unazidi?
Ni kuigaiga?
Ujinga? Au
Ni nini?

Mpaka maaskofu ? Shit
Ametuangusha chuma kama kile style moja tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…