Hivi kuumizwa na mapenzi mwisho miaka mingapi?

Hivi kuumizwa na mapenzi mwisho miaka mingapi?

Umeona au bado
1754214147315.jpg
 
Haina miaka bob, ni hali ambayo inakuja automatic baada ya moyo kuburuzwa, kupigwa matukio ya kutosha, ili ujue sasa umekomaa nauli sasa hutumi,
akidai njaa inauma unamjibu pole, akidai gas imeisha unamwambia akajaze halafu unamwongezea kaushauri atumie Kwa mipango life Siyo simple,
Ukiona malalamiko yamezidi saaana usichague lakumjibu mwulize lolote, mfano: kwani Rose wangu wewe ni kilema?
Ukifikia level hiyo sasa nenda zako kumwagilia moyo
 
Back
Top Bottom