Hivi kutengeneza App kama ya UBER ya Kibongo tunakwama wapi?

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
8,589
Reaction score
14,203
Wakuu nilikua na ist yangu ikabidi nimkabidhi dereva tuifanye Tax. Na kwenda kisasa zaidi ikabidi tujiunge UBER....kwasababu za kimaslahi ikiwemo UBER imebidi niipaki kwanza.

Aisee jamaa wanapiga hela wale watu, yaani kila kitu ni cha kwako... Kuanzia gari, kodi na vibali vyoye, matengenezo, faini za barabarani, smartphone, mafuta nk. Wao wanakupa App yao tu basi na kukuunganisha na wateja kwa app yao halafu wanaramba 25% kwa kila kichwa aisee

Nikawa najiuliza hivi haiwezekani mbongo akatengeneza App ya kibongo halafu akashusha bei ya makato na akaweka mazingira rafiki ya kibongo bongo hadi mikoani si atapiga sana hela.

UBER wapuuzi sana wana mambo sio poa kabisa, wanatuletea vigezo vyao kama kwao USA bana.

Tuna kwama wapi kwani

Mbona naona kama fursa hii kwa wadau wa tech
 
UBER wamewekeza sana mkubwa kwenye hiyo huduma yao kiasi inafikia hatua wanakubali wapate hasara hata miaka 3 mfululizo ili tu huduma yao iwe bora

Sasa kwa wawekezajia wa kibongo gharama tu za server hawataziweza wala App haitafanyiwa maboresho ya mara kwa Mara
 
1. upande wa kifedha, mchawi server baba,
izo gharama zake uwe tayari kupata return baada ya miaka mingi mingi ( na hapo umekusanya wateja wa kutosha )

2. upande wa kitech , na assume wapo wabongo watakaoweza 'unda' hiyo kitu

3. 10% , na kadhalika
 
Hii namba tatu mbona kama ramli chonganishi.Jiwe gizani

Hiyo namba mbili Unataka kusema hakuna software engineers na programmers wanaoweza 'kuunda' hiyo kitu?

Hiyo namba moja..Hizo Server ni za kwenye cloud unazilipia amazon,Azure au unajenga physical??Makampuni mengi hapa bongo yanatumia mbinu ipi kati ya hizo?

sorry kwa mpangilio reverse

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii namba tatu mbona kama ramli chonganishi.Jiwe gizani
😂 😂 😂 😂 tena ukute hapa Bongo iyo ndiyo yenye nguvu kuliko hata izo za mwanzo

Hiyo namba mbili Unataka kusema hakuna software engineers na programmers wanaoweza 'kuunda' hiyo kitu?
yawezekana wapo, walau kuunda something close to Uber

Hiyo namba moja..Hizo Server ni za kwenye cloud unazilipia amazon,Azure au unajenga physical?
kwa Uber, wanafanya hybrid, ie: dedicated za Amazon(aws) + dedicated za kwao(physical),

Makampuni mengi hapa bongo yanatumia mbinu ipi kati ya hizo?
mengi ni shared hosting, baadhi ni vps
 
UBER wamewekeza sana mkubwa kwenye hiyo huduma yao kiasi inafikia hatua wanakubali wapate hasara hata miaka 3 mfululizo ili tu huduma yao iwe bora

Sasa kwa wawekezajia wa kibongo gharama tu za server hawataziweza wala App haitafanyiwa maboresho ya mara kwa Mara
Umeshatengeneza apps ngapi za kibiashara? Naona umepiga chai sana!
 
Kujenga app sio kitu kigumu. Max miezi mitatu unatengeneza app ambayo kimsingi inafanya karibu vitu vyote vya msingi uber inafanya.

Siku zote tatizo liko kwenye kuendesha biashara baada ya app kuwepo. Sales/Marketing, Compliance and Lega issues ndio haswa pagumu. Inahitaji msuli na plan za nguvu sana kupenya hapo.

Mazingira yetu si rafiki hata kidogo. Kumbuka hizi kampuni zililelewa kwao mpaka zikakua. Sisi hapa kwetu hatulei. No wonder hatuna kampuni strong za kuzipeleka nje kulinganisha na demograph na resources zetu!
 
Kuna mtu ananidokeza hapa eti nikweli taxfy ni ya Kenya?
 
UBER wamewekeza sana mkubwa kwenye hiyo huduma yao kiasi inafikia hatua wanakubali wapate hasara hata miaka 3 mfululizo ili tu huduma yao iwe bora

Sasa kwa wawekezajia wa kibongo gharama tu za server hawataziweza wala App haitafanyiwa maboresho ya mara kwa Mara

Hayo maserver ni makubwa kuliko ya labda JF? Nauliza tu kujua

Naamini wakianza kuingiza mpinga wa maana watafanya tu updates
 
Jf huwezi jua wamepitia mangapi mkuu mpaka wakaweza kulipia server na maintenance nyingine hasa za security
 
Wakuu nilikua na ist yangu ikabidi nimkabidhi dereva tuifanye Tax. Na kwenda kisasa zaidi ikabidi tujiunge UBER....kwasababu za kimaslahi ikiwemo UBER imebidi niipaki kwanza.

Aisee jamaa wanapiga hela wale watu, yaani kila kitu ni cha kwako... Kuanzia gari, kodi na vibali vyoye, matengenezo, faini za barabarani, smartphone, mafuta nk. Wao wanakupa App yao tu basi na kukuunganisha na wateja kwa app yao halafu wanaramba 25% kwa kila kichwa aisee

Nikawa najiuliza hivi haiwezekani mbongo akatengeneza App ya kibongo halafu akashusha bei ya makato na akaweka mazingira rafiki ya kibongo bongo hadi mikoani si atapiga sana hela.

UBER wapuuzi sana wana mambo sio poa kabisa, wanatuletea vigezo vyao kama kwao USA bana.

Tuna kwama wapi kwani

Mbona naona kama fursa hii kwa wadau wa tech
Mkuu,

Kutengeneza App kama Uber ni easy tu hata wewe unaweza.

Issue ni operations, processes, branding, trust na marketing.

Kuna Apps kibao kama Uber, hata bongo tu kuna Uber, Taxify, Littleride, moovn n.k ila ngapi zinafanya vizuri sokoni ?

Unaweza kudesign App ukaishia kuitumia mwenyewe
 
Kuna mtu ananidokeza hapa eti nikweli taxfy ni ya Kenya?
Taxify aka Bolt ni ya Estonia kama nakumbuka vyema. Kiufupi ni kampuni ya EU na sio Afrika. Alipiga chai tu huyo
 
Wakuu nilikua na ist yangu ikabidi nimkabidhi dereva tuifanye Tax. Na kwenda kisasa zaidi ikabidi tujiunge UBER....kwasababu za kimaslahi ikiwemo UBER imebidi niipaki kwanza.

Aisee jamaa wanapiga hela wale watu, yaani kila kitu ni cha kwako... Kuanzia gari, kodi na vibali vyoye, matengenezo, faini za barabarani, smartphone, mafuta nk. Wao wanakupa App yao tu basi na kukuunganisha na wateja kwa app yao halafu wanaramba 25% kwa kila kichwa aisee

Nikawa najiuliza hivi haiwezekani mbongo akatengeneza App ya kibongo halafu akashusha bei ya makato na akaweka mazingira rafiki ya kibongo bongo hadi mikoani si atapiga sana hela.

UBER wapuuzi sana wana mambo sio poa kabisa, wanatuletea vigezo vyao kama kwao USA bana.

Tuna kwama wapi kwani

Mbona naona kama fursa hii kwa wadau wa tech
Inawezekana kabisa mkuu ila kwa mazingira ya biashara ya bongo its easier said than done kuna njia ndefu kupita. UBER ni giant na ina backup ya kutosha. Kukupa tu picha halisi namna jamaa walivyo njema, UBER wanaspend zaid ya Dola Billioni 2 kwenye shughuli za utafiti tu (Research and Development). Hiyo pesa inatosha kujenga SGR Dar mpk Dodoma na chenji ikabaki.
 
Ipo siku mtasema Microsoft Office bei sana tutengeneze ya kwetu.
Nakumbuka enzi zile vijana wa chuo wanafanya ujinga ku-customize Ubuntu [emoji3][emoji3] sijui waliishia wapi? [emoji3][emoji3]
Unatakiwa uwe na msuli mkubwa sana kupambana na Giants ambao mifumo yao imepitia research na updates za miaka zaidi ya 20.
 
mbona Kali linux ilitengenezewa Singida
 
Unaota wewe?
Mbona naskia mzanzibari ndo aligundua computer...ila wazungu wakamchukua wakampeleka kufanyia experiments knowledge yake halafu walipoitengeneza wakamuua hata hawakumtaja
 
Back
Top Bottom