my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Kweli wapo watu wa hivi kweli kwa dunia ya sasa? Mtu alie kisa ameachwa au hapendwi na mtu anayempenda au ametendwa? Hapa namaanisha kulia kwa namna yoyote ile kisa mapenzi? Kulia kisa mapenzi ni ujinga kiwango cha juu. Hivi mtu unaanzaje kulilia mapenzi kama sio ujinga tuite nini 🙄 sio kulia tu hata ile mtu kuchanganyikiwa kushindwa kufanya mambo yake ya kila siku kisa tu mapenzi 🤧 mimi nikiona jitu zima linalia kisa mapenzi naliona kama chizi tu. Kuna mambo ya kulilia na kukufanya ukose furaha lakini sio mapenzi.
Mimi katika vitu navichukulia kawaida sana moja ni mapenzi. Sijawahi kulia na sitegemei kuja kulia kisa mapenzi. Mapenzi kwangu mimi ni ktu cha kawaida yakiwepo sawa yasipokuwepo sawa sipungukiwi chochote. Nadhani hii ndio sababu huwa nadumu kwa muda mrefu kwa mahusiano. Tokea nijielewe sijawahi kuwa na uhusiano wa mda mfupi.
Ujue ukitaka mapenzi yasikusumbue yachukulie kawaida acha kushobokea mapenzi sana ndio maana mnaumia na kulia hovyo kisa mapenzi 😉

sio kulia tu hata ile mtu kuchanganyikiwa kushindwa kufanya mambo yake ya kila siku kisa tu mapenzi
mimi nikiona jitu zima linalia kisa mapenzi naliona kama chizi tu. Kuna mambo ya kulilia na kukufanya ukose furaha lakini sio mapenzi.