Hivi kuna waliotumwa na Rais kuchunguza kitu wakaja na matokeo chanya?

Tume za uchunguzi zinazoundwa na Mheshimiwa JPM, zote zimekuwa na majibu yenye tija kwa Taifa kutokana na umakini katoka muundo wa Tume na ufuatiliaji wa karibu ili tume isihujumiwe.

Tume ya uchunguzi wa Maabara ya Taifa imeundwa na waziri wa Afya. Uwe unatafakari na kufuatilia jambo kabla ya kukurupuka kuandika kwa mlengo wa kushutumu.
Hujui unachokiandika. Subiri kitu cha Madagascar kinashuka hivi karibuni unywe. Maana unaandika utumbo mtupu humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tume za uchunguzi zinazoundwa na Mheshimiwa JPM, zote zimekuwa na majibu yenye tija kwa Taifa kutokana na umakini katoka muundo wa Tume na ufuatiliaji wa karibu ili tume isihujumiwe.

Tume ya uchunguzi wa Maabara ya Taifa imeundwa na waziri wa Afya. Uwe unatafakari na kufuatilia jambo kabla ya kukurupuka kuandika kwa mlengo wa kushutumu.
Waziri wa afya ana report kwa nani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu. Nilikuwa nauliza. Tangu mkuu aingie madarakani tuna uzoefu nae wa kuunda team za kuchunguza vitu mbali ikiwepo mambo ya madini na vingine ni vya siri anavijua yeye mwenyewe.

Je, hizi team zinazotumwa zinaweza zikaja na kitu ambacho hakitampendeza mkuu!!? Kwa uzoefu wangu naona kama hizi team zinakuwa zinaangalia mkuu anataka nini kwenye hiki kitu then wanaenda nae humohumo mwisho wa siku wa kuteuliwa anateuliwa na wa kutumbuliwa anatumbuliwa.

Ndicho kitakachotokea kwa hii team ya kuchunguza maabara ya taifa. Sidhani kama watakuja na results ambazo zitakuwa against na mkuu. Tukumbuke mkubwa hakosei.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee Kinana alipotumwa India kwa matibabu alirudi na ripoti tafauti na anayotaka Mkulu, imebidi afungwe kifungo cha nnje miezi 18.
 
Habari wakuu. Nilikuwa nauliza. Tangu mkuu aingie madarakani tuna uzoefu nae wa kuunda team za kuchunguza vitu mbali ikiwepo mambo ya madini na vingine ni vya siri anavijua yeye mwenyewe.

Je, hizi team zinazotumwa zinaweza zikaja na kitu ambacho hakitampendeza mkuu!!? Kwa uzoefu wangu naona kama hizi team zinakuwa zinaangalia mkuu anataka nini kwenye hiki kitu then wanaenda nae humohumo mwisho wa siku wa kuteuliwa anateuliwa na wa kutumbuliwa anatumbuliwa.

Ndicho kitakachotokea kwa hii team ya kuchunguza maabara ya taifa. Sidhani kama watakuja na results ambazo zitakuwa against na mkuu. Tukumbuke mkubwa hakosei.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzoefu wangu unasema NDIYO ila hakuna ripoti ambayo amewahi kupokea hadharani bila kupitia draft na kui-doctor au kuchakachua. Timu ya Prof Isaac Mruma maarufu kama Makinikia ilifanya kazi nzuri sana. Ikatoa ripoti kuwa kwenye kila container la 20ft kuna 0.7 Kgs za Gold. Sasa kwa kuwa yeye alishasema kwa HISIA zake au HYPOTHESIS yake kuwa ACACIA wanatuibia madini kupitia makinikia ikaonekana hiyo 0.7 Kg iko kwenye mkataba and THEREFORE hakuna wizi.

Kwa kuona ataonekana ni Rais MZUSHI na MWONGO akaagiza wakati wa kusoma draft kuwa Prof Mruma ahamishe decimal moja kwenda kulia hivyo ikasomeka 7.0 Kg kwa container ya 20ft.

Na alivyo na akili fupi hiyo 7.0Kg ndiyo ikawa denominator ya kukokotoa kodi iliyokwepa na ACACIA kuanzia 1998. Na ndiyo kile kichekesho cha madai ya USD 190 Bilioni maarufu kama Noah moja kwa kila Mtanzania
 
daaah!! Hatari sana. Anacheza michezo ya kitoto kabisa.

Hatari sana... Hivi alienda kuvhunguza nini? Sijawahi kuinyaka hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo nimeijibu as a joke. Kama utakumbuka unakumbuka matukio ya Makonda(Bashite) na Moses Nnauye, Mzee Kinana (Akiwa bad ni Kati mkuu wa CCM )alitoweka ikawa haonekani, ukaanza uvumi kwamba yuko chini ya ulinzi ( house arrest ) baadae Mkulu alifanya kikao cha kamati kuu hapo Magogoni, katika kikao hicho Mzee Kinana hakuhudhuria pia.
Sasa Mkulu akasema kwamba amemtuma Mzee Kinana India kwa matibabu. Suala likaja hivi mtu ANATUMWA na kiongozi wake kwenda India kwa matibabu yake mwenyewe? Jee mbona kuondoka na kurudi kwake haikuonekana airport? Hakuna picha yoyote inayoonesha akiwa hospitali India?(Nungai alipokuwepo India picha zake zilionekana)
 
Hili bandiko lako limefungua mambo ambayo tunaweza tusikusaidie, kwani hatuna uwezo wa kujua kila jambo ambalo Rais kaagiza likachunguzwe.
 
Habari wakuu. Nilikuwa nauliza. Tangu mkuu aingie madarakani tuna uzoefu nae wa kuunda team za kuchunguza vitu mbali ikiwepo mambo ya madini na vingine ni vya siri anavijua yeye mwenyewe.

Je, hizi team zinazotumwa zinaweza zikaja na kitu ambacho hakitampendeza mkuu!!? Kwa uzoefu wangu naona kama hizi team zinakuwa zinaangalia mkuu anataka nini kwenye hiki kitu then wanaenda nae humohumo mwisho wa siku wa kuteuliwa anateuliwa na wa kutumbuliwa anatumbuliwa.

Ndicho kitakachotokea kwa hii team ya kuchunguza maabara ya taifa. Sidhani kama watakuja na results ambazo zitakuwa against na mkuu. Tukumbuke mkubwa hakosei.

Sent using Jamii Forums mobile app
yasije kuwa kama yale ya makinikia na ndoto za noah ambazo hta ist imeshindikan hadi leo
 
Unakaa naye ndani anakuambia hapa ninataka matokeo HASI, kisha mnatoka mbele ya watu na kameras anakuambia nenda kachunguze na ukachape kazi kwelikweli, utapata wapi matokeo CHANYA?
 
Tume yoyote itakayoendana tofauti na mapenzi ya mtume wetu jiwe itakua imejiweka matatani. Nadhani unakumbuka tume iliyoundwa na waziri mstaafu kumchunguza mkono wa kulia wa jiwe bashite, ndiyo maana anaitwa waziri mstaafu.
 
Yeah... nimekuelewa vyema mkuu
Hiyo nimeijibu as a joke. Kama utakumbuka unakumbuka matukio ya Makonda(Bashite) na Moses Nnauye, Mzee Kinana (Akiwa bad ni Kati mkuu wa CCM )alitoweka ikawa haonekani, ukaanza uvumi kwamba yuko chini ya ulinzi ( house arrest ) baadae Mkulu alifanya kikao cha kamati kuu hapo Magogoni, katika kikao hicho Mzee Kinana hakuhudhuria pia.
Sasa Mkulu akasema kwamba amemtuma Mzee Kinana India kwa matibabu. Suala likaja hivi mtu ANATUMWA na kiongozi wake kwenda India kwa matibabu yake mwenyewe? Jee mbona kuondoka na kurudi kwake haikuonekana airport? Hakuna picha yoyote inayoonesha akiwa hospitali India?(Nungai alipokuwepo India picha zake zilionekana)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukienda against utashangaa una kitu cha uhujumu uchumi.

Back
Top Bottom