Namna halisi ya kubadili kabila ni kumkataa Baba yako aliye kuzaaIli kabila letu naona linatupunguzia uhaminifu,sifa,upole,upendo na Unyenyekevu,kama kuna uwezekano wa kubadili kwa yeyote mwenye majibu au information naomba kujua,Kwa nini niteseke na kabila ziko nyingi??
Your "Kabila" or tribe is determined by paternal genes ( I may say by convention because mother's genes are excluded), so if you can change your genetical make up to remove the paternal genes, then you will be there! short of that is adoption!Ili kabila letu naona linatupunguzia uhaminifu,sifa,upole,upendo na Unyenyekevu,kama kuna uwezekano wa kubadili kwa yeyote mwenye majibu au information naomba kujua,Kwa nini niteseke na kabila ziko nyingi??