Hivi kuna ukweli wowote kwamba mwanamke(baadhi yenu) akijifungua anapoteza hamu ya tendo la ndoa?

Black BackUp

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
685
625
Hivi kuna ukweli wowote kwamba mwanamke(baadhi yenu) akijifungua mpaka mtoto kufikia umri wa miaka (2-3) akawa hana hamu ya tendo/kufanya sex yaani kupoteza kabisa hisia?.
Wanawake naomba majibu
 
Hivi kuna ukweli wowote kwamba mwanamke(baadhi yenu) akijifungua mpaka mtoto kufikia umri wa miaka (2-3) akawa hana hamu ya tendo/kufanya sex yaani kupoteza kabisa hisia?.
Wanawake naomba majibu
Halafu kwenye huu uzi utashangaa mpuuzi mmoja kidume atakomenti.

Mimi nakaa pembeni
 
Sky mamy wewe si ushaendaga leba? Ukuje hapa nami nipate lolote kabla ya..😂
 
Back
Top Bottom